Si kweli SARS COV 2 vinafanana na HIV kwa mujibu wa maelezo yako, ufanano wao ulitakiwa kuishia kwenye RNA tu. Japo pia bado tofauti ni kubwa HIV ana RNA molecules mbili na zote ni positve sense RNA SARS COV 2 ana RNA molecule moja tu katika viral capsid yake.
HIV hana proofreading mechanism...
Personally i dont believe in Holy spirit, naamini katika Nature, siamini mtu anaweza pona ugonjwa wowote kwa MAOMBI, there must be scientific procedures involvement. In Africa dini zililetwa tu, na watu kua na uwezo mdogo wa kufikiri wakaamini Mazima. The Universe is under natural control...
Sio daktari kabisaa.
Hawa ndio wanaohusika kutengeneza na kugundua dawa duniani kote.
Molecular biologist, biotechnologists, microbiologist, chemist(pharmacist), botanist na ni wote kwa kushirikiana sio mtu mmoja.
Tanzania haiwatambui at all wizara ya afya inawatambua madaktari tu na watu wa...
Mkuu tembelea chapisho langu jukwaa la habari
Heading: Tambua uwezo wa watalamu wa bioteknolojia na mikrobiolojia
Tanzania tunafeli sehemu ndogo tu kwa kukosa ufahamu. Daktari sio mgunduzi wa dawa duniani kote wanajua. Mchakato wa dawa ni molecular biologist, microbiologist, chemist...
Ni kweli kabisa mchakato wa kupata dawa unahitaji fedha nyingi sana na inakua ngumu sana kwa nchi changa kiuchuni. But Kuhusu dawa ya HIV kuna a lot of scientific challenges ntakupa chache za kitalamu maana siamini kua dawa haipatikani kwa sababu ya kukosa Fund.
1. Tabia ya HIV virus kutengeneza...
Tembelea chapisho langu jukwaa la habari.
# fahamu uwezo wa watalamu wa bioteknolojia na mikrobiolojia. Pia chapisho lingine jukwaa la elimu, #ufafanuzi wa kada ya bioteknolojia na majukumu yao.
By Modern scientist.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimevutiwa na hoja yako, nimetamani kukupa uelewa juu ya swala hili. Kuanzia Leo fahamu kua Daktari na medical laboratory scientists hawajaandaliwa kufanya tafiti za uvumbuzi wa madawa wala Chanjo. MDs kazi yao ni kutibu tu, Watu wa Medical labs nao pia kazi yao ni kufanya qualitative (positive...
Yamanaka Factors zilizo badili mtazamo wa Medicine ktk uso wa Dunia. I remember nilisoma huu uvumbuzi kwenye Molecular cell biology, huyu jamaa aliweza badili normal cells kua stem cell, he could take any somatic cell and turn it into a stem cell. I wish Tanzania na sisi tuwekeze katika...
Hoja ya msingi kuliko zote ni kwa Wizara ya Afya kutambua mchango wa Biotechnology Tanzania, maana sijawahi kuona nchi nyingine Duniani ambayo inawapa restrictions Biotechnologist (Try to find out).
Na reason why hawapewi nafasi zao ni kua katika maabara hizo za Tafiti wanaofanya kazi ni...
Kitu usichojua ni kua Cell Biology, ndo outcome ya kila field ya medicine. Ndio maana since day one nilisema kuna Molecular level research ambazo Zinawezwa fanywa na Molecular biologist, and chemist only. Kuna research za anatomy anaweza fanya mbobezi wa eneo hilo alie master eneo hilo tu eg...
Hawasomi anatomy cause hawatakiwi kudeal na binadamu so usiseme wanapo fail no. Hiyo ndio curriculum yao inavosema, wao ni research labs tu sio hospital labs.kama ni hospital labs basi hatakiwi kumgusa mgojwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Medical lab wanasoma PCR sio Molecular biology. zaidi wanasoma Molecular biology tools tena application tu watu wanasoma Molecular biology three years na sio topic, Unasema unajua hybridoma technology je ulishawahi kuifanya? Ni sawa na mimi navojua kuhusu surgery na siwezi kuifanya. Uliwahi...
Bio technologist hayuko flexible katika area ipi ya Medicine? Unaweza toa mfano kua hawezi kufanya nini kwenye research za Medicine?
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.