Recent content by Meja2

  1. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Dah! Leo ndio inafika mwezi wa sita tangu nifanye oral 9/11, hakuna hata mmoja alieitwa kati ya tuliofanya kwenye kada yetu.
  2. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Tarehe 9.11.2023, nilifanya oral interview pale Asha rose migiro Psrs Dodoma. Imetimia miezi 3 bila majibu yoyote ya waliopata au kukosa, ni jambo zuri kujua majibu ya ulichofanya iwe ni hasi au chanya kwa sababu ya muda na rasilimali zilizotumika kufika kwenye usaili zinathibitisha uhalali wa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Pale asha rose migiro, mkiwa wengi kada tofauti mnapelekeshwa kama watoto na kufokewa juu na walinzi wao. Mnapigwa jua na baridi la dom kabla ya kuingia kukandwa unawaza umaskini wako na familia yako unaona tu hamna namna nikuikubali tu system.
  4. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Wanaita ila ukiona tangazo leo, subiri kuanzia miaka 3+ mbele kuona lingine. Sio surveyors, land officer, valuer au carto. Tuendelee kujitafuta kwenye kampuni za watu na kuzulumu wananchi. UNASTAAFU UNAJITOLEA.
  5. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Dah! Kuna hiyo moja nilienda, nilikuwa sijui hata naenda kulala wapi hata nauli ilikuwa ya kuunga.
  6. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Mtu unatamani ujue tu kama umepata au hujapata uendelee na mambo mengine, unakaa miezi mingi unafikiria mpaka unaanza kukumbuka maswali na kujihesabia marks vitu ambavyo havina uhalisia. Haya ni mateso ya kisaikolojia mwaka huu ndio nimeyapata na kuingia oral mbili nachungulia hakuna hata moja...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wenye uzoefu wa kupanda Malori yanayoelekea mikoani, namuomba hapa

    Nenda ubungo kibo, utapata IT au coaster.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Kwa waombaji wote wa mikopo kupitia HESLB 2018/2019

    Unacertify as a true copy of original kwa mwanasheria ingawa sijajua km ni lazma au la?? Bt ndo nilivyofanya!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Kwa waombaji wote wa mikopo kupitia HESLB 2018/2019

    Tumia hicho hicho lkn ukicertify kwa mwanasheria ndio utume
  10. M

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Kwa waombaji wote wa mikopo kupitia HESLB 2018/2019

    Kitambulisho cha uraia
Back
Top Bottom