Iwapendeze waungwana........
Binafsi niko Mt. Meru Hotel muda huu namwona Kigwangala akihangaika kusubiri wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM kwa dhumuni la kuwapa ujumbe kutoka kwa Waziri wa Mambo Nje.
Kigwangala kawahakikishia baadhi ya wajumbe kuwa lazma waingie Ikulu..... Baadhi yao...
Kileo kweli of all the people........ Its very clear sawa kapewa chopper juzi ila haitokaa awe Mbunge wa huko......... hawezi na haitotokea
Yeye mwenyewe Kileo na Joyce wanafahamu hilo aache kabisa halafu eti mnajifanye kutaka kurase hoja ya Ukabila...... hata mimi ntasema waachwe Wapare...
Lowassa ndo habari ya Taifa hili....... wamemwonea sana, wamemchafua sana, ila Mungu ambaye ndiye msimamia haki alimwongoza na hapo alipofika Lowassa ni kwa Neema tu.........
Mckenzie kamaliza kujibu yote tena hoja kwa hoja na kwa ufasaha mkubwa bila kumumunya maneno........
Long Live...
Hapa Uwanjani Vijana wa toyo wameamua kuwa wakali hasa baada ya January kuwaita wakiamini kuna jambo la msingi kwa ajili kumbe ni Siasa tu.
Vijana hawa wamekomalia kudai posho pamoja na hela ya wese. January alichowajibu eti yeye alikuja kuwapa Semina kwa ajli ya usalama wao na juu ya Bima...
Hayo ni ya Kaisali na Filosofia twende kwa Contemplaly world........ wewe kumtaja tu ama kwa mema au mabaya kuna maana kubwa sana......... haepukiki tena
izi mbio za Ulaisi zimeonekana kulitikisa Taifa hasa kwa hili kundi linalojopambanua kwa jina la Vijana.
Ilianza kama utani ila sasa hii taasisi ya Ulaisi imeonekana kuwa ni sawa na meno kwamba kila mtu anaweza kuwa Laisi wa Taifa hili ambalo kimsingi bado linahitaji mtu hodali, shupavu...
Kitabu cha Wagalatia nadhani Mlango wa Nne kuna neno linasema; Je nimekuwa adui yenu kwa sababu ya ukweli?? Usinifanye adui na wala usifikiri sana Lema anashambuliwa bali anaambiwa ama ukweli anaupasa kuufahamu au elimu anayopasa kuipata......... Mapenzi uliyo nayo kwake yasifanye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.