Recent content by Meiandmyself

  1. M

    Madereva wanaoendesha magari aina ya Subaru na Alteza

    Wapi naweza pata Engine ya Altezza Yamaha 3SGE yenye 4 Transmission
  2. M

    Kuna mambo yametokea kwenye usaili wa BRELA ya kushangaza. Je, hii ni kweli?

    Sheila hakwenda kufanya oral interview NI KWELI, Hii ni baada ya watu kupaza sauti na kwa AIBU hakwenda kufanya ORAL.Lakini hapa hoja ''NI KWA VIPI SHEILA AITWE ORAL INTERVIEW WAKATI HAKUFANYA WRITTEN INTERVIEW''. Hii ndio hoja kubwa inayohitaji majibu, na sio eti wamepata au hawajabpa ajira...
  3. M

    Kuna mambo yametokea kwenye usaili wa BRELA ya kushangaza. Je, hii ni kweli?

    Ni kweli hawajapata ajira, Jibu HOJA HII Iweje sheila aitwe oral interview bila kufanya written interview? Sheila alilia machozi baada ya kusemwa sana na wenzake.Usifiche UOZO kwa sababu kama wewe upo BRELA naamini utakua mnafiki kwa maana UNAJUA KILA KITU na umeamua kuplay wellfair. Hayo...
  4. M

    Kuna mambo yametokea kwenye usaili wa BRELA ya kushangaza. Je, hii ni kweli?

    Nimeikuta mahali hii, ina ukweli wadau au ni propaganda? Nawapongeza Utumishi kwa kazi nzuri mnayofanya na maboresho makubwa ya mfumo wenu. Binafsi najua mna nia njema na mnaendana na malengo ya Serikali ya CCM inayojali wanyonge. Leo kuna maajabu nataka kuwashirikisha ili muweze kuona...
  5. M

    Usaili wa TAA duu changamoto

    are area gani walitoa kwa ICT
  6. M

    Usaili wa TAA duu changamoto

    Na ya research yalikuaje,kwa aliyefanya usaili
Back
Top Bottom