Recent content by Megent Julius

  1. Megent Julius

    Nafasi za kazi, banking officers NMB Plc

    Watu wasi pate presha maana matokeo wana angalia na kanda ufaulu uliopo.. Kama northern zone ufaulu mdogo wata kuwa na pass mark yao.. Same to other zone.. Unakuta hzo 90+ watu weng wpo kanda dar etc.. so lazma wa conside..
  2. Megent Julius

    Nafasi za kazi, banking officers NMB Plc

    Naona kuna criteria watakao angalia.. Mayb wata pitia Cv kuangalia kama details/ qualifications zime zingatiwa
  3. Megent Julius

    Nafasi za kazi, banking officers NMB Plc

    Duh mzee.. Kwa matokeo haya na mengine nayo ona.. Hii imeisha kuwa yebo yebo.. Watu walikua wana bonga sana.. Mpka matusi.. Sasa kila mtu kaisha jua position yake Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Megent Julius

    Serikali ifanye yafuatayo kwa haraka kulinusuru taifa

    Hapo umenena faza.. Hatua inabidi ichukuliwe Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Megent Julius

    Halotel:jipatie 12gb,175 dakika mitandao yote mwezi mzima kwa 7500 tu.

    Hahaha[emoji1] [emoji1] Vyuma vimekaza
Back
Top Bottom