nunua box la tambi, weka getto.
kutoka mishe, chap chemsha maji toa hapo vikombe viwili vya chai
then tia chumvi kijiko cha chai nusu, weka tambi kiasi chako, dak 5 toka chuja maji kama yamepaki.
then weka mafuta kidogo kwa sufuri then unga tambi zako kwa suka au nyanya na kitungu (utakavyo...
Microsoft suite nikiwa na maana io (ie. ms-word, power point, na excel)
na baadhi ya software kama Auto Cad na sketch up pia Dev c++ na codes za Arduino programming lakini sio sana.
Habari wakuu,
Mimi mwanafunzi wa chuo cha ufundi Arusha, diploma ya umeme.
Natafuta ajira (party-time) ya kukidhi maitaji ya chuo.
Uzoefu wangu na elimu ni: secondary school; Don bosco technical school (division 2)
Advance school; Tarakea sec school (division 3)
Currently, Arusha Technical...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.