Recent content by Meerkat

  1. Meerkat

    Kwanini hatuna tabia ya kueleza jambo linalotusibu moja kwa moja, haswa wakati wa salamu?

    changamoto ni pale ambapo hata kwa watu wa karibu au tunaowaamini bado tunajificha.
  2. Meerkat

    Kwanini hatuna tabia ya kueleza jambo linalotusibu moja kwa moja, haswa wakati wa salamu?

    Habari za muda huu wana-JF, Kwanini watu wengi, tunapoulizwa “Habari?” au “Upo vipi?”, jibu letu mara nyingi huwa ni “salama”, “niko poa” au “nzuri tu” hata pale ambapo kiuhalisia hatuko poa kabisa?
  3. Meerkat

    Kuna tofauti gani ya kati ya Elimu na Ujuzi?

    https://www.jamiiforums.com/threads/kama-huna-pesa-jua-kabisa-huna-ujuzi-wowote-wa-maana.2418680/post-55651693
  4. Meerkat

    Kama huna pesa, jua kabisa huna ujuzi wowote wa maana

    Ujuzi wa thamani hufichwa, hauko wazi na haupatikani kirahisi. Hakuna mtu anayegawa ujuzi huo hovyo hovyo. Njia rahisi na yenye ufanisi zaidi ya kupata ujuzi ni kufundishwa na mtu ambaye tayari ana ujuzi huo. Hii ndiyo njia pekee inayoweza kuhakikisha unauelewa ujuzi huo kwa asilimia mia, kwa...
  5. Meerkat

    Skills (ujuzi) upi ni muhimu kwa vijana kuwa nao kwa kipindi hiki cha hali ngumu?

    https://www.jamiiforums.com/threads/kama-huna-pesa-jua-kabisa-huna-ujuzi-wowote-wa-maana.2418680/post-55662374 https://www.jamiiforums.com/threads/kama-huna-pesa-jua-kabisa-huna-ujuzi-wowote-wa-maana.2418680/
  6. Meerkat

    Kama huna pesa, jua kabisa huna ujuzi wowote wa maana

    Ujuzi pia ni uwezo unaokua kupitia mafunzo, mazoezi na uzoefu. Unaweza kuwa kwenye kazi za ufundi, taaluma mbalimbali, sanaa, biashara au michezo. Kadiri mtu anavyofanya na kujifunza zaidi, ndivyo ujuzi wake unavyokua.
  7. Meerkat

    Kama huna pesa, jua kabisa huna ujuzi wowote wa maana

    Wataalamu wengine wanaeleza kuwa kiwango cha juu cha ujuzi hufikiwa pale ambapo mtu anafanya jambo kwa ustadi bila kufikiria sana kila hatua. Inakuwa kama sehemu ya kawaida ya uwezo wake. Hapo ndipo mtu anakuwa mtaalamu wa kweli, kwa sababu utekelezaji wake unakuwa wa uhakika na wa kuaminika.
  8. Meerkat

    Kama huna pesa, jua kabisa huna ujuzi wowote wa maana

    Kwa lugha rahisi, ujuzi ni uwezo unaojifunzwa wa kufanya jambo na kupata matokeo yaliyokusudiwa kwa uhakika na kwa ufanisi, bila kupoteza muda au nguvu nyingi.
  9. Meerkat

    Uwezo wa Kujenga Hoja na Kujibu Hoja kwa Hoja ni Uwezo wa Juu wa Kiakili

    Ana uwezo mdogo wa kujenga hoja hilo suala liko wazi.
  10. Meerkat

    Kama huna pesa, jua kabisa huna ujuzi wowote wa maana

    Ujuzi ni nini hasa Ujuzi ni uwezo wa kufanya jambo fulani na kupata matokeo. Sio kujua tu, bali kuweza kutekeleza kwa ufasaha, usahihi na ufanisi. Je wewe unaelewa nini kuhusu ujuzi kwa mtazamo wako? Karibuni tushirikiane mawazo.
  11. Meerkat

    Uwezo wa Kujenga Hoja na Kujibu Hoja kwa Hoja ni Uwezo wa Juu wa Kiakili

    Kuangalia tarehe ya kujiunga au idadi ya post hakujibu hoja niliyoweka. Hoja inajadili uwezo wa kujenga na kujibu hoja kwa mantiki, si historia ya akaunti ya anayechangia. Kama una pingamizi juu ya wazo lenyewe, weka hoja yako wazi tuijibu kwa hoja.
  12. Meerkat

    Uwezo wa Kujenga Hoja na Kujibu Hoja kwa Hoja ni Uwezo wa Juu wa Kiakili

    Ndiyo. Hoja nimeshaweka tayari imeeleza wazi kuwa kujenga hoja na kujibu hoja kwa mantiki, usahihi wa taarifa, na utulivu ni uwezo wa juu wa kiakili.
  13. Meerkat

    Uwezo wa Kujenga Hoja na Kujibu Hoja kwa Hoja ni Uwezo wa Juu wa Kiakili

    Uwezo wa kujenga hoja na kujibu hoja kwa kuzingatia misingi ya mantiki, usahihi wa habari, na uwezo wa kuelewa maoni tofauti, kisha kuyajibu kwa njia yenye nguvu na utulivu, ni moja ya ujuzi wa juu zaidi wa kiakili. Hauhusiani tu na uelewa wa mambo, bali pia na uwezo wa kuyafanya wengine...
  14. Meerkat

    Kama huna pesa, jua kabisa huna ujuzi wowote wa maana

    Ni kweli, mazingira yana chelewesha pesa, lakini kama mtu ana ujuzi wa thamani, mazingira yatamchelewesha tu au kumlazimisha kubadilisha njia. Lakini tayari anaweza kutengeneza pesa popote atakapo enda tofauti na mtu ambaye hana ujuzi wowote ataweza kubadilisha mazingira na bado hataona...
  15. Meerkat

    Kama huna pesa, jua kabisa huna ujuzi wowote wa maana

    Kwa kufanya kazi, unaenda kufanya kazi gani hasa ilhali huna hata ujuzi wa chini kabisa? Nenda popote pale iwe jeshini, au hata kwa vijana wengi wanaopendelea kukimbilia nchi za Magharibi bila ujuzi huwezi kutengeneza pesa, popote pale ulipo.
Back
Top Bottom