Recent content by Medullar

  1. M

    USHAURI: Nataka kuachana na elimu ya kidato cha 5 na 6 (advance) niende nikasomee kozi za umeme

    Habari wakuu, Tangu zamani nilikuwa na hilo wazo lakini kwa sasa naona interest imezid kuwa kubwa. Tangu zaman nimekuw mtu wa kupenda mambo ya umeme na nlipokuwa mdogo (primary) nlikuwa mbunifu, nlikuwa natengeneza helcopta (japo haikupaa iliishia kuzunguka chini tu), magari ya mota n.k. Na...
  2. M

    Wakuu naombeni mnisaidie wap nitapata LDR

    mkuu je kuna uwezekano wa wao kunitumia coz mm sipo dar nipo singida
  3. M

    Wakuu naombeni mnisaidie wap nitapata LDR

    Kama kuna mtu ambaye anaijua na anajua inapopatikana (dukani au kwenye chombo chochote cha umeme)anisaidie nina shida nayo picha yake ndio hiyo
  4. M

    Phenomenal form nimerudi tena

    ahsante sana mzee wangu
  5. M

    Phenomenal form nimerudi tena

    hamtaki au?:D:D
Back
Top Bottom