Recent content by MeddyFox

  1. MeddyFox

    Soma Ufahamu

    B - Uendeshi Magari Ya Abiria , Magari Makubwa Ya Mizigo , Magari Ya Biashara :- Mfano Ya Bakhresa ( Azam ) D - Uendeshi Magari Ya Abiria , Uendeshi Magari Ya Mizigo Mfano Maroli Yaliyozidi Tani 3 Na Robo " Unatakiwa Kuendesha Mwisho Tani Tatu na Robo Tyuu ...
  2. MeddyFox

    Zifahamu aina za leseni kwa madereva

    Magari Ya Utumishi Wa Umma Ni Ya Abiria ... Ambayo Unatakiwa Uwe Na Leseni Class C , C1 , C2 , C3. Magari Ya Biashara Mfano :- Kenta Za Azam , Kilimanjaro , Itategemea na Kiwanda Au Kampuni Uliyoenda Kuomba Kazi , Ambayo Leseni Yake Inaanzia D na E . D - Magari Yeyote Unaendesha Ila Yasiyozidi...
  3. MeddyFox

    Zifahamu aina za leseni kwa madereva

    A- Leseni ya kuendesha pikipiki lenye au lisilo na sidecar na ambao uwezo unazidi 125cc au 230kg. A1- Leseni ya kuendesha pikipiki lisilo na sidecar na ambao uwezo ni chini ya 125cc au 230kg. A2 - Leseni kuendesha vyombo vya moto vyenye miguu mitatu au minne. A3- Leseni ya kuendesha pikipiki...
  4. MeddyFox

    Soma Ufahamu

    A- Leseni ya kuendesha pikipiki lenye au lisilo na sidecar na ambao uwezo unazidi 125cc au 230kg. A1- Leseni ya kuendesha pikipiki lisilo na sidecar na ambao uwezo ni chini ya 125cc au 230kg. A2 - Leseni kuendesha vyombo vya moto vyenye miguu mitatu au minne. A3- Leseni ya kuendesha...
  5. MeddyFox

    JE ITAWEZEKANA???

    Hahaha , Usijal Tyupo Pa1 ... Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
  6. MeddyFox

    Msaada namna ya kuhuisha (re-new) leseni ya udereva

    Je Unaposomea Udereva Wa Awali , Unapopata Chet na Leseni Class D " Je Unaweza Kufanya Mpango Pale Kabla Ya Kupata Class D , Ukaongeza Madaraja Juu Kwa Juu Ili ikitoka Leseni Ije Na Daraja B D C3 A3 . Inawezekana???
  7. MeddyFox

    Msaada namna ya kuhuisha (re-new) leseni ya udereva

    Eti Unaweza Kuchukua Leseni Leo Baada Ya Siku 2 ama 3 Unaweza Ukafanya Mchakato Wa Kuongeza Daraja Ulikuwa Na B , D Ukaongeza C3 Na Kadhalika??? Msaada Pliz
  8. MeddyFox

    Msaada namna ya kuhuisha (re-new) leseni ya udereva

    Hahaha , Eti Naweza Kuongeza Daraja Kabla Ya Miaka 3 Kama Inavyotakiwa???
  9. MeddyFox

    JE ITAWEZEKANA???

    Je Itawezekana????
Back
Top Bottom