Kwanza kabisa binafsi nashindwa kuelewa, mwanzo nilipenda sana kuwa na uhusiano na mwanamke mwenye umbo dogo.ilitokea hata kutumia muda mwingi sana kumtafuta binti mmoja mwenye sifa ambazo mimi nilihitaji.
Sielewi, maana yaweza kuwa alijua nahitaji mwenye sifa kama zake maana kamwe hakuwa...
Hasira yaweza panda ukapiga mtu kofi kwa hasira kisha ukasema nisamehe? wengi twaweza kusema ndio.
waweza kumpiga kofi mama kwa hasira kisha ukasema nisamehe? wengi walisema hawawezi hata kama wana hasira kiasi gan!
Bila shaka napata ujasiri wa kusema japo hasira kuna kipaumbele pia. na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.