Habari, Majina yangu Emanuel Maro, nimehitimu masomo katika kada ya ugavi na manunuzi (procurement and supplies management) ngazi ya cheti katika chuo cha utumishi Wa umma Tanzania (TPSC). Ninatakiwa kuendelea na masomo ngazi ya diploma lakini nimeshindwa kukidhi gharama za masomo, nilianza...
Habari zenu wakuu, Mimi ni kijana niliyehitimu chuo fani ya ugavi na manunuzi, kutokana na ugumu Wa ajira niliamua kubuni wazo la Biashara ili nisipoteze muda. Nilifikiria kuanzisha Biashara ya kununu manga plain T shirts na kuziprint then nizi advertise katika mitandao ya kijamii e.g Facebook...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.