Recent content by Mechatronics

  1. Mechatronics

    Computer4Sale Hp envy 14-j008tx

    HP ENVY 14-j008TX SPECIFICATIONS. RAM 12GB HDD 1TB PROCESSOR 2.4GHz, Core i7-5500U GPU Dedicated Video Memory 4GB NVIDIA GEFORCE GTX 950M Ina keyboard light Ina Fingerprint scanner Battery life 4-9hrs inategemea na matumizi ya mtu. Inacheza Games zote kubwa. Call of duty, Motto combat, Fifa...
  2. Mechatronics

    INAUZWA iPhone 6s used INAUZWA

    Ongeza 30 nikuachie
  3. Mechatronics

    INAUZWA iPhone 6s used INAUZWA

    iPhone 6s Storage 64 gb Battery life 100% Fingerprint work perfectly Haina crack Bei 370,000 Tshs Call 0717 916063
  4. Mechatronics

    Nahitaji lathe machine

    Mwenye kuuza au kujua wanapouza lathe machine kwa asiye ifahamu ni kama hiyo apo chini kwenye picha, naomba tuwasiliane hela ipo.
  5. Mechatronics

    Biashara za mitandao (kuunganishana) zinavyowaliza first year vyuoni

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  6. Mechatronics

    Biashara za mitandao (kuunganishana) zinavyowaliza first year vyuoni

    Kweli kabisa ndugu, hawa madogo wanatakiwa waelimishwe kuhusu hizo business ni bora hizo pesa wawe wananunua hata assets tu. Sasa kuna dogo yy ni first year amejiunga na hizo Network marketing alafu anataka kuniokota na mm ambae nimeshamaliza 4th year kabsa...
  7. Mechatronics

    HP Envy 14. Inauzwa

    Hapana haina doa, kwa juu ina screen protector ya nylon.
  8. Mechatronics

    HP Envy 14. Inauzwa

    Condition: USED Specifications: RAM: 12 GB PROCESSOR: 2.4 Ghz CORE: i7 5th GENERATION HDD: 1 tb SCREEN SIZE : 14" INVIDIA GEFORCE: 950M Ina Light keyboard (keyboard inawaka taa) Finger print scanner inafanya kazi. Charge inakaa masaa 10 on audio, Masaa 4 on video with full brightness, masaa 2...
  9. Mechatronics

    Kampuni ya mambo ya engineering inauzwa!

    Assets zenu upande wa machines ni zipi.?
  10. Mechatronics

    Mechanical Engineering

    Mechanical engineering is the discipline that applies engineering, physics, engineering mathematics, and materials science principles to design, analyze, manufacture, and maintain mechanical systems. It is one of the oldest and broadest of the engineering disciplines.
  11. Mechatronics

    Nauza Iphone 7

    Specifications Memory 32 GB Unapewa na charger. Simu bado mpya kabisa ipo katika hali nzuri. Napatikana Mbezi mwisho DSM Bei ni 680k. Mawasiliano 0717916063
  12. Mechatronics

    Nauza Iphone 7 32 GB.

    Bei 680,000 Tshs ( haipungui ) Bado mpya kabisa. Mawasiliano: 0717 916063 Inapatikana Dar es salaam (mbezi mwisho)
  13. Mechatronics

    Je, ni chuo gani kizuri cha masuala ya uhandisi (Engineering) na teknolojia (Technology) Tanzania?

    Mm ni mwanafunzi wa uhandisi brother, na ninasoma Mechanical Engineering mwaka wa 4.
  14. Mechatronics

    Je, ni chuo gani kizuri cha masuala ya uhandisi (Engineering) na teknolojia (Technology) Tanzania?

    Exactly mkuu. Hapa nimezungumzia General tu, hasa hasa kwa vyuo vinavyohusika na engineering pekee.
Back
Top Bottom