Recent content by Mechanist

  1. Mechanist

    Kwa haya maneno ya Dr. Kimei, taasisi ya Urais ijitafakari

    Chato ni ka kijiji, hamna biashara hapo. Biashara na pesa ni katoro/Buseresere
  2. Mechanist

    Je, huyu kwenye picha ndio Yesu Kristo?

    Anayeongea si wewe bali pepo wachafu walio ndani yako. Nyie na dini yenu ya majini mna nini cha kujisifu?
  3. Mechanist

    Sitompeleka tena mwanangu kwenye Zahanati za Kata(Serikali)

    Pamoja na hayo facilities za serikali zina changamoto nyingi, ratio ya wagonjwa na mtoa huduma ni kubwa mno, nurses na clinicians wana overwork, maabara hazina vitendea kazi, hawalipwi mishahara bali wanalipwa vimishahara, kwa ufupi wanafanya kazi kwa kujitolea
  4. Mechanist

    Sitompeleka tena mwanangu kwenye Zahanati za Kata(Serikali)

    Secta ya afya Tz kwa facilities za serikali bado sana. Wacha wenye pesa tuendelee kwenda hospital zetu
  5. Mechanist

    Ukweli kuhusu Arusha City Vs Mwanza City

    Umewahi fika au kuishi Mwanza?
  6. Mechanist

    Hivi ni sawa kwa binti wa kilokole au wa kiislamu kuvaa suruali?

    Mimi sio engineer. Hakuna mateso kwani moyo wangu huwaza IBADA siku zote. Ntaoa mda sio mrefu.
  7. Mechanist

    Hivi ni sawa kwa binti wa kilokole au wa kiislamu kuvaa suruali?

    Sasa ni zaidi ya mwaka mmoja na nusu tangu nimeacha
  8. Mechanist

    Hivi ni sawa kwa binti wa kilokole au wa kiislamu kuvaa suruali?

    Ni waliookoka na wacha Mungu tu ndio huweza kuacha mambo yamchukizayo Mungu. Kwa kutegemea akili zako hawezi acha mambo yakuleteayo hatia ndani yako. Pengine ninaurgue na mtu mwenye uwezo mdogo wa kufikiri na kujenga hoja
  9. Mechanist

    Hivi ni sawa kwa binti wa kilokole au wa kiislamu kuvaa suruali?

    Hahahahaha eti HKL, ungejua ungekaa kimya. Hahahahaha
  10. Mechanist

    Hivi ni sawa kwa binti wa kilokole au wa kiislamu kuvaa suruali?

    Kupiga puli wewe inakuhusu nini au umewashwa nini. Tahira ni wewe mwenyewe unayetoka nje ya mada na kujadili vitu vingine. I perceive hata ufaulu wako darasani ni wa mashaka
  11. Mechanist

    Wanawake na uchungu wakati wa kujifungua

    Uliona wapi nangonoka?
  12. Mechanist

    Hivi ni sawa kwa binti wa kilokole au wa kiislamu kuvaa suruali?

    Hunijui, sikujui. Jiheshimu katika kuandika kwako. Kama unataka kuurgue leta ushahidi wa maandiko kutetea suruali ni vazi la kiume na si kujadili maisha ya mtu na vitu vyepesivyepesi
  13. Mechanist

    Hivi ni sawa kwa binti wa kilokole au wa kiislamu kuvaa suruali?

    Wewe hauko kwenye kundi la walokole Wala waislamu coz umeshindwa kwenda kwenye hoja unakimbilia matusi.
Back
Top Bottom