Recent content by Mech

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nauza Bati za ALAF

    Zipo Mkuu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mliofanikiwa kibiashara, mliwezaje kupambana na changamoto ya mtaji kukata/ kuisha?

    Hii ni kweli kabisa, kuna muda mikopo huwa inarudisha nyuma sana. Shida inakuja unakuta TRA wanadai na deadline imekaribia, mwisho wa siku ili kukwepa Penalty inabidi kukopa.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mbinu za kimafanikio kwa wafanyabiashara wadogo; Maarifa niliyoyapata kutoka China

    Mkuu kwa exposure uliyoipata huko, je ni digital services gani ambazo zipo kwenye trend na zina demand kubwa sana huko China, ambazo huku kwetu pia zikianzishwa tunaweza kunufaika nazo kibiashara?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mliofanikiwa kibiashara, mliwezaje kupambana na changamoto ya mtaji kukata/ kuisha?

    Wakuu mambo vipi, Hivi kwa wale ambao mmefanikiwa kwenye biashara zenu, hiki kiunzi cha kupambana na changamoto ya mtaji kukata mlikiruka vipi ndugu zangu. Ni njia gani mlizitumia ili na sisi ambao bado tunahangaika kuruka hiki kiunzi tuzitumie Kuna muda unaona kabisa, nikifanikiwa kuvuka...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa business ideas, kwa mtaji wa M4 ukanda wa Pwani

    Pwani, sehemu gani (Wilaya gani)?
  6. M

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Kuwafikia wateja wengi kwa njia ya sms

    Kwa huduma ya bulk sms nicheki Whatsapp: 0747642122
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tupeane mbinu za kupata mitaji pindi biashara zinapopitia changamoto

    Wakuu mambo vipi. Kwa wale wafanyabiashara wote wakubwa na wadogo, naomba tupeane mbinu ambazo huwa mnazitumia kupata mitaji pindi biashara zetu zinapopitia changamoto. Changamoto ya kupata mtaji, au kuweza kupata back-up ya mtaji kwa haraka kwa upande wangu imekuwa inanisumbua kwa muda mrefu...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nauza Bati za ALAF

    Nimekucheki Mkuu. Zipo 8pcs
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nauza Bati za ALAF

    Nilimaanisha 34,000 mkuu. Samahani typing error
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nauza Bati za ALAF

    Mwenye Nyumba mkuu
Back
Top Bottom