Recent content by Mece

  1. Mece

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana wenzangu tusiogope kuoa, ndoa tamu

    Apo kwenye nimpende na anipende ndo changamoto maana toka nimekuwa mkubwa napendaga tuu hata sipendwi basi hadi nimekata tamaaa
  2. Mece

    JamiiForums Tanzania Kilichotutokea jana Bambalaga - Dodoma

    Yaani nikipata hadithi kama hizi naumia sana jinsi Wanaume wanavyokutwa na mambo meusi wakienda kulewa sehemu ambazo malaya wanafanya mishe zao. Mtu wangu aliendaga na m1 baa ikiwa ni mshahara wake wote katoka kuchukua benki hajatumia hata shilingi akasema nipite baa nipate bia kidogo niende...
  3. Mece

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana wenzangu tusiogope kuoa, ndoa tamu

    Mmmm kumbe kuna mambo mazuri Sana huko hadi umenitamanisha
Back
Top Bottom