Mkuu umenikumbusha kuna makala moja niliisoma ya Mfugaji mmoja nchi za west Africa, anasema wafugaji wengi hatuko serious. Akasema MTU ana kuku 1000 halafu anajiita Mfugaji?(of course nili shtuka). Akasema ukiwa na idadi hiyo na ukapata soko La uhakika La kuku 100 kila siku maana yake wewe una...

Kitu cha ajabu kabisaa. Yaani shirika lina resources nyingi (nahisi kuliko kampuni zote za simu) halafu ndio lina cover eneo dogo kuliko makampuni yote.
Hivi hamkujipanga.? Kwanini hamfanyi uchunguzi kabla ya kufanya mnacho kitaka?? Hiyo transition(kama unavyoiita wewe) mnajua imeingiza hasara kiasi gani kwa serikali na kwa RAIA mmoja mmoja anaye tumia huo usafiri? Mnajua itachukua muda gani mpaka mambo yakae kwenye mstari(binafsi sioni yakija...
Mkuu hizo gari 70 ni mpyaa auu zilikuwepo zikawa hazifanyi kazi? Ishu nyingine ni hapo kwenye TTCL, labda kama sijui ila ni biashara gani Ttcl wamefanya auu kusimamia ikawapiku wapinzani wake sokoni?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.