Recent content by Mduzi wa mambo

  1. M

    KERO Serikali kuu mbona ipo kimya kuhusu pesa za kujikimu za watumishi, au wao ndo tatizo?

    Kwa mda mrefu watumishi wapya Halmashauri tofauti tofauti wamekuwa wakilalamika kutopewa pesa za kujikimu wengine zaidi ya miezi 6 hadi mwaka tangu kuajiriwa na wengine kupewa nusu ya malipo stahiki. Je tatizo ni mamlaka za Halmashauri au serikali kuu kupitia hazina, kwanini serikali kuu ipo...
  2. M

    KERO Mfumo wa Ajira Portal unatutesa, mamlaka husika ifanyie kazi changamoto hii

    Nilifungua account ajira portal siku za nyuma, Nilipoteza simu na emails sikuwa nimenukuu wala siiijui. Na sahivi siwezi login sina emails hiyo na sikumbuki password 🔑 Nafanje nipate Access ya account yangu Msaada jamani
  3. M

    Msaada wa mawazo kwenye tangazo hili

    Habari jamani kuna TANGAZO la kazi chuo kikuu huria Tanzania ( OUT). Sasa kwenye tangazo wamesema barua zote ziwe addressed na anwani yao Na tuombe kupitia ajira portal na imezoeleka ajira zinazo ombwa kwa ajira portal tunaweka address ya UTUMISHI
  4. M

    Tazama ushahidi huu wa kimahesabu wa Michango ya Lissu Unaothibitisha CHADEMA haifikishi wanachama hata million Moja

    Ndugu yangu unashangaza saana,, unaweza pelekea watu wakutukane kwa fikila zako hizo Unaweza twambia niwangapi wanatumia simi janja wapeta hizo habari pia waweza twambia Kila mtu anaweza changia ikiwa tu asilimia kubwa ya wa Tz wanaishi chini ya dollar moja JE unajua kama kupiga kura ni Bure...
Back
Top Bottom