Mikoa yenu Masikini sana imejaaa Uchawi kiasi kujenga mnaogopa mnakuja kujenga Pwani
mkekimbilia
Pwani kwa Waislamu !! Leo mnataka kuwabagua wenyeji wenu!!!!
Kweli nyinyi kondoo Mliopotea!!!!!
Mmekuta jiji la Dar es Sallam likiwa na Waislamu
jiji la Amani
Ikiwa ww ni mwenye
chuki na Mapepo dhidi ya
wenyeji wako!
rudi kwenu mikoani uko Bara
Mkanjinjane
kuchunana ngozi
na kwenye visa vya kuuwawa Albino
WaBibi wazee nk.
Jiji la Dar es Sallam litabaki na wenyewe wenye Sigda nk.
Ndio watakuwa wamepelekq Demokrasia pale Congo !!
Mana kuna watu Dini zimewapofusha wanawaona Marekani kama wakombozi kwenye vichwa vyao !!
kumbe Marekani yupo kutafuta Rasilimali popote iwe Africa au kwengineko
kama Venezuela
Iranian
Iraq nk!!
Michadema yote imegeuka badala ya kudai Katiba mpya !!
sasa yanadai iyo connection kwao ndio muhimu :p
Mingine mijitu mizima
Sijui wanataka kuona nini kipya kwenye AI ya Connection!!
Kama Chadema mtaji wao ndio rasilimali ya watu aina hii wanalilia connection !!
basi Chadema wajue Wapo...
Dalili Mtoto wako akija nyumbani moja kwa moja anataka kujielekeza kwenda kulala
Ukimwita haji!
anajifanya kulala tayali!!
Mtoto mwenye tabia izi mchunguze
Sana!! Yumkin unaweza kumuokoa kabla mambo kugeuka kuwa
Magumu zaidi!!!
Nyumbani tuzuiwe kabisa tena tuwe Wakali Familia zetu...
Watoto wanaanza kulewa kimyaa kimya
Na kimya kimya wanaanza kubututuana vinyeo kwenye vichochoro
Mzazi ukija kushtuka tayali nyumban unae Juma L kwako!!!!
Pombe Pombe kimara Mbezi Wazazi chunga watoto sana!!
Iyo Kwako ikiwa umejiakikishia kuna mparaganyiko CCM kisa iyo AI !!!
Na CCM kwao ukiwa ww Mwananchi unafuraha basi ndio lengo kuu
Serikali zipo kuwapa Wananchi tumaini na furaha kwa pamoja!!
Endelea kuinjoy AI yasasa kabla ya kuja nyengine!
Yoyote mwenye nia nzuri ya kuwataka Vijana kulinda migongo yao
Basi ongezea wasijiingize kwenye pombe
Pombe ni mtego m'baya
kwasasa Kwa Vijana
wengi wadogo
Changanya kampeni pamoja Pombe na Mgongo :BanHammer:
Mayumbu akili Togwa mpaka yake kushtukia kwamba Mange sio adui wa CCM
Sio adui wa Serikali
Tushafika 20-30 au 20-35 Nyumbu wapo pombe tu biashara kwishaaa
Niwape neno zuri Vijana wapya kulinda migongo yenu ni
jambo zuri !!!
Lkn ni vigumu kulinda Migongo
yenu Uku wewe ni chapombe!!!!
Sasa...
Kwa tulipo sasa kwenye ulimwengu wa AI
Basi MANYUMBU wajiandae kuchekeshana sana
Yatakaaa watapewa nyengine ya mwengine !!!
Ivyoivyo
mpaka yake kushtuka
Tupo mbali sana Wamanzengo!!!
Mayumbu yanapenda vituko vituko
Yanapigq ngoma yenyewe na kucheza yenyewe
Kwakutumia AI yatajichekesha sanaaaa
Pamoja na yote lkn ukweli utabaki Mayumbu nawao ni Watanzania ivyo
Ikiwa wenyewe wamechagua namna ya kuchekeshana kwa style ile sawaa
Mufurahie tu ili muongeze siku za kuishi...
Kusema umeota kile na kile
Ukiota mambo ya Siasa jua kile umekiota ndio tamanio lako kichwani mwako!!!
Ndoto za Siasa zinaendana na kile kinakusimbua kila siku kila siku
Leo kaote Heche kapinduliwa!!!!!
Kaote Lissu kafungwa
miaka 29 !!!!
Hatari sana
Mwendo huu mpaka Kwenye Uchaguzi wa mwezi w 11 pale Marekani
Netanyahu na Trump kufikia 2029 watakuwa wamepigwa
chini wote Kwenye uhongozi!!!
na wote watakuwa namakesi kibao Kwenye Mahakama zao !!!!
ivyo ndivo itakuwa kufikia 2028 au 2029!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.