Recent content by mdida

  1. mdida

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umewahi kumkomoa msichana wakati wa kufanya mapenzi?

    Ndio maana siku hizi nguvu za kiume ni tatizo kila kona, unamkomoaje mwanamke? Mwanamke hakomolewi ndio maana anaweza kuwa anaigiza kulia wewe unavimba kichwa kuwa unamwumiza kumbe anakudanganya.
  2. mdida

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yamenikuta: Mpenzi nikifanya naye mapenzi leo, kesho anataka tena

    pole sana
  3. mdida

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume wangu hanitoshelezi, kimwili na kimahitaji

    Fata moyo wako mama life is too short, isitoshe kuna maada ikiletwa humu kuhusu mwanaume kumwacha mke utasikia tu ''achana nae tafuta mwingine'' ila ikija kwa mwanamke utaona ushauri mwingi wa kuvumilia. Tupa kule hata ukiishi mwenyewe haina shida mradi moyo wako una furaha.
  4. mdida

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchumba wangu ana mimba ya mwanaume mwingine

    Yaani mtoa mada kweli nimekuelewa kabisa, uchumba wa kwenye gari mara sijui kufanya kazi za ndani mara mimba duh hongera sana
  5. mdida

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wale wanawake wakulala nao chini kwenye mkeka wamepotelea wapi??

    ndo maana wakaitwa wa zamani
  6. mdida

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Enzi hizo mwanamke ukimuambia tuachane analia sana ila siku hizi thubutu

    Mapenzi hayajaribiwi ndugu.
  7. mdida

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwenu mawifi, wake wa kaka zetu

    Hata kama hujaolewa una uwezo wa kuwa busy na mambo yako ya kukuletea maendeleo na ukafanikiwa. Kinachowakosanisha watu ni ile kukariri kuwa kwa vile kaka ana mali ni halali yako wifi unakaa kiboya bila kujishughulisha ukitarajia kutimiziwa kila kitu na kaka yako ili hali na yeye ana majukumu...
  8. mdida

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Enzi hizo mwanamke ukimuambia tuachane analia sana ila siku hizi thubutu

    Hasa unamwambia tuachane ili iweje, kama bado unampenda usimjaribu.
  9. mdida

    JamiiForums Tanzania Msaada: Alivunja ungo akaona siku zake ila sasa hazioni

    Yupo shule anasoma darasa la saba na wanabanwa sana na masomo na anaishi boarding. Asante kwa ushauri nitafatilia.
  10. mdida

    JamiiForums Tanzania Msaada: Alivunja ungo akaona siku zake ila sasa hazioni

    Asante kwa ushauri ndugu .
  11. mdida

    JamiiForums Tanzania Msaada: Alivunja ungo akaona siku zake ila sasa hazioni

    asante kwa ushauri
  12. mdida

    JamiiForums Tanzania Msaada: Alivunja ungo akaona siku zake ila sasa hazioni

    Atapelekwa mkuu maana mtoto anauliza ni kwanini na anapata mawazo sana.
  13. mdida

    JamiiForums Tanzania Msaada: Alivunja ungo akaona siku zake ila sasa hazioni

    Thanks for your advice mkuu.
  14. mdida

    JamiiForums Tanzania Msaada: Alivunja ungo akaona siku zake ila sasa hazioni

    Nitafanyia kazi ushauri huu. Asante.
  15. mdida

    JamiiForums Tanzania Msaada: Alivunja ungo akaona siku zake ila sasa hazioni

    mmmmh ASANTE KWA ushauri nitamwambia
Back
Top Bottom