Recent content by mdhalendo

  1. mdhalendo

    Miezi mitatu tangu nianze kutumia 5G Home Internet ya Voda Supakasi. Hiki ndicho nilichoki-experience so far

    Tangu mwezi Novemba mwaka jana nimekuwa miongoni mwa wateja wa kwanza wa kutumia huduma za vodacom 5G supakasi ya home internet kwa kutumia device yao mpya ya NOKIA FastMile 5G Gateway 3.1 na leo ningependa nitumie jukwaa hili kutoa uzoefu wangu kama mmojawapo wa wateja wa kwanza wa 5G internet...
  2. mdhalendo

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Millcom International (Tigo) waliamua kuuza biashara yao yote ya Afrika so kwenye nchi mbalimbali wameuza kwa wawekezaji mbalimbali mfano hapa bongo imenunuliwa na Rostam Aziz (Axian Telco) Tigo ya Ghana ikanunuliwa na Airtel Ghana Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
  3. mdhalendo

    Kusambaza Fiber Internet Bongo ni expensive kuliko nchi yoyote Afrika Mashariki

    Noma sana. Safari bado ndefu sana Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
  4. mdhalendo

    Kusambaza Fiber Internet Bongo ni expensive kuliko nchi yoyote Afrika Mashariki

    Kuna nyumba nyingi sana hazishindwi kulipa hiyo. Makampuni haya yanashindwa hata kufanya tafiti ndogo za vipato vya kaya mbalimbali
  5. mdhalendo

    Kusambaza Fiber Internet Bongo ni expensive kuliko nchi yoyote Afrika Mashariki

    Chief nakuelewa sana hoja yako. Mimi ni mtumiaji wa voda supakasi, nalipa 120,000 kila mwezi na wamenipa ile device yao mpya ya 5G licha ya kwamba nina kipato imara kinachoniwezesha kutoa hiyo 120K kila mwezi bado naitamani Zuku fiber ambayo nasikia watu wanalipa 60K na wanapata stabe 10Mbps...
  6. mdhalendo

    Kusambaza Fiber Internet Bongo ni expensive kuliko nchi yoyote Afrika Mashariki

    "Toka hapo mlimani city upite makongo mpaka goba uunganishe kaunzia mbezi mwisho, goba mpaka mbezi beach jumlisha na madale yote mpaka tegeta. Kuna watu wengi sana matajiri na hawashindwi kabisa kulipa hiyo 70k kwa mwezi. Twende Bunju, Boko, Tegeta mpaka bahari beach nako kumejaa watu wenye huo...
  7. mdhalendo

    Kusambaza Fiber Internet Bongo ni expensive kuliko nchi yoyote Afrika Mashariki

    Moja ya selling point kubwa ya fiber ni Internet stability na unlimited access. Router moja ya nyumbani inaweza kuhudumia smart devices zote tena unlimited tena kwa Tsh 2,500 kwa siku. 70,000 kwa mwezi. Hii itasolve changamoto ya mabando ya mitandao ambayo bando zimekuwa expensive na unapimiwa...
  8. mdhalendo

    Kusambaza Fiber Internet Bongo ni expensive kuliko nchi yoyote Afrika Mashariki

    Hata private company zinaruhusiwa kusambaza tatizo ni hiyo fee ya dola 1,000 kwa kilometa
  9. mdhalendo

    Kusambaza Fiber Internet Bongo ni expensive kuliko nchi yoyote Afrika Mashariki

    Mkuu tuwe serious kidogo kwenye mambo muhimu. Hiyo TTCL nimejaza fomu za fiber tangu msimu wa sabasaba hadi leo sijajulishwa chochote. Mimi ninaishi around UDSM - Makongo Juu - hili ni eneo potential sana lenye middle class lakini hakuna fiber ya mtandao wowote. So, let's be serious ili...
  10. mdhalendo

    Kusambaza Fiber Internet Bongo ni expensive kuliko nchi yoyote Afrika Mashariki

    Moja ya swali nililokuwa najiuliza sana ni kwanini makampuni yanayotoa huduma ya internet kwa fiber optic cable yanashindwa kusambaza fiber kwenye maeneo mengi ya watu wa kipato cha kati ambao wanaweza kulipia huduma zao bila shida yoyote. Kumbe sababu ni kwamba nchi yetu inachaji dola 1,000...
  11. mdhalendo

    Project planning and management

    Mimi ninesoma hiyo kozi B.A Project Planning, Management and Community Development ya UDOM. Ni moja ya maamuzi bora niliyowahi kufanya maishani mwangu. Kwangu ni bonge la kozi
  12. mdhalendo

    Tatizo lolote la PC/device

    PC yangu ni mpya lakini nikijiunga kwenye vikao vya zoom na Microsoft Teams haitaki kuunganisha sauti, hata nikirusuhusu 'Join the meeting with device audio' Pia nimeallow/nimetoa permission app zote zitumie Mic ya PC. Bado shida ipo palepale
Back
Top Bottom