Recent content by mdeme

  1. M

    Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo aandika barua ya kujiuzulu

    Hii Longofyaaaaaa ya Karne Dah 🤣🤣🤣
  2. M

    GE2020 VIDEO: Wachambuzi wa siasa Kenya washangazwa na muundo wa uchaguzi wa Tanzania, wasema walitoka huko kitambo sana

    Ni sisi wanaotubeza Tuliwaokoa Wasichinjane, Tungekuwa Wa Ovyo Tusingefanya Hayo. Kinachowasumbua Kinajulikana... Na mfumo wao ungekuwa Imara, Mahakama ISINGE TENGUA MATOKEO NA KURA KURUDIWA TUME YAO INGESIMAMIA VIZURI TU WALA MAHAKAMA ISINGEKUWA NA HAJA YA KUTENGUA MATOKEO.. SABABU Za Kutengua...
  3. M

    Kiwewe kizito chawakumba walioshiriki au kushirikishwa katika jaribio la kigaidi la kumuua Mh. Tundu Antiphas Lissu!

    HISIA HISIA TU HAKUNA UKWELI WOWOTE WA USHIRIKI WA VYOMBO VYA DOLA NI ASSUMPTIONS ZISIZO NA CHEMBE YA USHAHIDI.
  4. M

    Picha ya 2020 imeshajichora! Bado rangi tuu

    Naunga Mkono..., Nyingine Siasa Tu
  5. M

    2020 akishindwa sijui atakubali kutoka?

    Atashinda Kwa Kishindo na Atarudi , Dua la Kuku Halimpati Mwewe [emoji23]
  6. M

    Rais Magufuli, Mafuru apelekwe mahakamani sio kupangiwa kazi nyingine

    Sidhani Kama Fixed Deposit Ni WIZI Ndio Maana Zimewekwa Katika Mfumo wa Ki Benki World Over. Unafanya Nini Na Pesa Za Faida Baada Ya Pesa Kuingizwa Katika Fixed Deposit Labda Kwa Faida Binafsi Ndio Unaweza Kuwa WIZI. Na Ushahidi Kama Upo Walikula Wakamatwe TU Na Kortini Wakajibu. Lakini...
  7. M

    Vyombo vya Habari vya Ulaya vyazidi kuiandama Serikali ya Tanzania

    Pumbavu Zao Wasitutishe Waseme Na Multinational Companies Zao Zimeiba Kiasi Gani Pia. Wao Kesi ya RADAR Waliizima Kuokoa BAE , Juzi ya STANDARD CHARTERED Wameizima Kuzima Wizi. Ni Vipi Leo Wawe Na Moral Authority ya Kupiga Kelele. Shame on Them.
  8. M

    Serikali: Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo uko palepale, gazeti lilipotosha

    Kabisa Mkuu Deo Warongo Sana Hawa, Na Watu Wakawa Wanashabikia Ajabu Sana.
  9. M

    Kubomoa Naura Spring Hotel ni komoakomoa sio bomoabomoa

    Watu Hawa Wa Ajabu Serikali Isipofuata SHERIA IMETIWA MFUKONI, FISADI nk Ikitimiza Majukumu INALIPA VISASI[emoji15][emoji15][emoji15] SHERIA Haijalishi Ulimsapoti Magufuli Au Lowassa Umekiuka Unawajibishwa Tuuu. Tuliona Kina Mama Mabondeni Wakilalama Waliisapoti CCM Na Wamevunjiwa. Tuache...
  10. M

    Serikali yasitisha Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo. Kuimarisha Bandari za Mtwara, Dar

    Bandari Ya Bagamoyo Haina Ubaya Wowote. Hivi Nchi Ikipata Rais Kama KUNA Eneo Anakotoka Linafaa Kwa MRADI Basi Aogope Sababu Tu Watu Kwa HISIA Kuliko MANTIKI Watasema Anapendelea Kwao??? Wanaiangalia Kila Jambo Kwa Ukabila BADALA ya Merits Ndio WAKABILA NO 1. Mbona MIRADI Mikubwa Wakati Wake...
  11. M

    Serikali yasitisha Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo. Kuimarisha Bandari za Mtwara, Dar

    Watu Wa Ajabu Sana Kwani Akitokea Bagamoyo Maana Yake Bagamoyo MIRADI Isifanyike???? Tuangalie Merits Sio Nani Anatoka Wapi? Mbona Magufuli Ameanzisha Usanifu wa Daraja Kuvuka Ziwa Victoria BUSISI Akija Rais Mwingine Asitishe?? Mbona JK Alianzisha MIRADI UDOM,MALAGARASI, KIGAMBONI, KILOMBERO...
  12. M

    Serikali yasitisha Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo. Kuimarisha Bandari za Mtwara, Dar

    Binafsi Sidhani Kama Ni Busara KUSITISHA UJENZI BANDARI YA DARESALAAM Imeelemewa Saana , Haina Eneo Sioni Dhambi Kujengwa Bandari Bagamoyo Ni Sehemu ya Tanzania Na Ilikuwepo Kwenye Mipango. Daresalaam Hakuna Sehemu ya Miundombinu. KUINGIA Bandarini Leo Inachukua Lorry Hata 6 Hours Foleni...
  13. M

    Wizi mpya Bandarini: Makontena 11,884 na Magari 2,019 yapita bila kulipa Ushuru, Polisi waanza Msako

    Kikwete Anahusika Vipi?,Kila Kitu Siasa Tu!!!, Hivi Ukiwa Kiongozi Maana Yake Kila UPUUZI Au Udhaifu Binafsi wa Watu wa Chini Yako Uubebe Wewe?? Mfumo wa Ulinzi Bandarini Haupo?, MKURUGENZI wa Bandari Hayupo?, Bodi?,Waziri wa Mawasiliano Na Uchukuzi??? Serikali Imeweka Mfumo, Tatizo Tukubaliane...
  14. M

    Bodi ya MCC yainyima Tanzania fedha za msaada

    Tungeshukuru Tukiupata Lakini Hawawezi Leta UBEBERU Wao Bora UMASKINI WENYE HESHIMA KULIKO UTAJIRI WA KIMBWA MBWA
Back
Top Bottom