Recent content by Mdau

  1. Mdau

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nabii Shilla ahamia ACT-Wazalendo na kuchukua fomu ya kuwania Ubunge

    Nabii Kipenyo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
  2. Mdau

    JamiiForums Tanzania CCM imemuaibisha Lijualikali baada ya kujivua heshima aliyopewa na CHADEMA

    Kuna tuhuma kwamba Lijuakali ni gay.. Tumhurumie, inawezekana kama ni kweli, basi ilitumika kama mbinu (kitisho) na kumfanya anyee kambi.
  3. Mdau

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wagombea 8 wajitokeza kutaka kumng'oa Job Ndugai Kongwa

    Wavae HELMET siku ya kura ya maoni. They will thank me later [emoji16][emoji16][emoji16]
  4. Mdau

    JamiiForums Tanzania Ana kwa ana na Mwigulu Nchemba: Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020

    Kuhusu wale vijana waliokuwa wanaandika MWIGULU RAIS 2015, baadhi wanadai hawakupokea malipo yao. Vipi, unalizungumziaje hili suala mheshimiwa? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Mdau

    JamiiForums Tanzania Brigedia Jenerali Marco Elisha Gaguti ni kijana hodari na mchapa kazi

    Pia ana karama ya uongozi
  6. Mdau

    JamiiForums Tanzania Brigedia Jenerali Marco Elisha Gaguti ni kijana hodari na mchapa kazi

    Pia ana karama ya uongozi
  7. Mdau

    JamiiForums Tanzania Kwanini ni Mbowe, na kwanini Chadema haifi kama walivyoahidi?

    Kule Njombe kuna mwenyekiti wenu anaelekea kijani leo
  8. Mdau

    JamiiForums Tanzania Kesi ya ndege ya ATCL inayoshikiliwa Afrika Kusini kuanza kuunguruma leo nchini humo

    Tutashinda, timu yetu ina Msauzi pia
  9. Mdau

    JamiiForums Tanzania Ufisadi mwingine wa Watanganyika dhidi ya Zanzibar huu hapa!!

    Hii mada haina afya
  10. Mdau

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aagiza RCO Morogoro kusimamishwa kazi, malipo ni hapa hapa.

    RCO wa Tabora ajiandae. Wazungu wa JTI wanabambikiza makosa kwa wafanyakazi, polisi wanawatesa na kuwalazimisha wakiri, kuna mzee wamemvunja mbavu. Ngoja tuendelee kukusanya data...
  11. Mdau

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Masele hajaitikia wito wangu, akizidi kupuuza labda awe mkimbizi

    Masele asirudi, huyu jamaa hachelewi kumtandika mikoma [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
  12. Mdau

    JamiiForums Tanzania Je, kuna ukweli watu wafupi wana inferiority complex hivyo kukasirika sana wanapohisi kudharauliwa?

    Hajakusema wewe, mbona hata yeye mfupi ila hana temper [emoji3][emoji3][emoji3] Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Mdau

    JamiiForums Tanzania Zitto: Kigogo kutoka CCM ambae aliwahi kushika nafasi nyeti serikalini, kukabidhiwa kadi namba 2 ya uanachama wa ACT Wazalendo

    Zitto aliwahi kutuaminisha kuhusu wabunge 50+ toka CDM kumfuata ACT. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Mdau

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Astashasta Nditiye amenusurika kifo

    Ni mtu wa wapi? Kama kabila lake hawapo vizuri, tafadhali amuone Dr Kigwa... Apate zindiko hata la kukodi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
  15. Mdau

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Tanzania nchini Russia, alitumiaje fursa ya kombe la dunia 2018 katika kuitangaza vema nchi yetu?

    Shafii Dauda alipambana kuliko balozi.. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom