Timu iko kwenye mchakato wa mabadiliko kama kutakuwa Na mgawanyiko mnafikiri tajiri gani atawekeza kwenye klabu yenye mgawanyiko?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo la simba sio Omog timu inacheza vizuri lakini haina wafungaji mbona walipoifunga Ruvu shooting haya yote hayakuwepo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Simba wanatakiwa kuwa na uvumilivu timu haijengwi kwa muda mfupi kama wanavyofikiria, wapeni muda Omog na mayanja mtafurahi wenyewe hamuoni wenzenu yanga walivyo Na subra
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.