Recent content by mdangu

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke mkorofi

    Ongea na mshenga wako mkae chini nyie wenyewe msortout mambo yenu ikishindikana shirikisha wazazi wako na wake ikishindikana mrudishe kwao akajifunze mwambie akishabadilika ndo atarudi
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nianze vp kumwambia mchumba wangu..!?

    Kuwa muwazi kwake lazima ukubali matokeo baada ya kumueleza
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "we ua tu baba ..si ndoa yako hii!!"

    Acha wapigwe tu wamezidi midomo na wengine ni sumbua kichwa
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka kuoa Mpare kutoka Same, msaada kwa wanaojua tabia zao

    Oa tu brother lakini sio ukoo wa mshana utaomba talaka ww mwanaume
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania mademu wa kizungu hawapigi mizinga kama wakibongo?

    Wapo mkuu wanaopiga mizinga,we unazungumzia movie....! njoo hapa A town kuna kijiwe kimoja ni balaa. mademu wa kitasha wanapiga mizinga balaa
Back
Top Bottom