Recent content by mdanganyika__

  1. mdanganyika__

    JamiiForums Tanzania Naomba uzoefu wa biashara ya uuzaji wa mayai ya kuchemsha

    Niliwahi kufanya research kuhusu hii biashara ingawa sikuwahi kufanya. Kwa kweli ni biashara nzuri ila inategemea unatarajia kufanya wewe au utahitaji kuwa na vijana ambao watakua wauzaji kwa niaba yako. Kwa ushauri wangu ni vyema ukaanza kufanya wewe mwenyewe. Siku hizi naona Kuna vikabati...
  2. mdanganyika__

    JamiiForums Tanzania SoC03 Jinsi Fursa nchini Burundi zinazoweza kubadili maisha na kuongeza kipato chako

    Uzi mzuri sana nitakufata dm mkuu tuyajenge
  3. mdanganyika__

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi na Mchanganuo Kuhusu Biashara ya Vipodozi na Urembo

    Kwa ushauri wangu. Usiende kariakoo kichwa kichwa utaumia. Tafuta mtu ambaye ameshawahi au anafanya hiyo biashara ongea nae kwa uzuri mweleze shida yako mpe hela ya soda kidogo, muombe muda wake kidogo uongozane nae mpaka kariakoo ili kununua mahitaji yako kwa usalama zaidi. Ukienda mwenyewe...
  4. mdanganyika__

    JamiiForums Tanzania Pata faida 30,000 kwa siku kwa mtaji usiozidi laki 1

    Tusitake kupewa kila kitu. Vingine tunapaswa kujiongeza yeye katoa idea tu mambo mengine tujiongeze wakuu.
  5. mdanganyika__

    JamiiForums Tanzania Pata faida 30,000 kwa siku kwa mtaji usiozidi laki 1

    Mkuu umenena kitu kikubwa sana sema vijana sisi tuna tatizo moja ambalo limekua ni ugonjwa mkubwa sana tatizo lenyewe ni kukatishana tamaa bila kujaribu au kuangalia kuna watu wanauza vitafunwa kila siku ila hawasongi mbele. Siku moja nilifanya research ndogo sana kuhusu biashara ya mayai ya...
  6. mdanganyika__

    JamiiForums Tanzania Dada yangu anataka kufanya kazi za Casino

    Na mimi ni mmojawapo tena sio mimi nipo pamoja na mke wangu wa ndoa kabisa. Casino ni sehemu salama kuliko hata Bar.
  7. mdanganyika__

    JamiiForums Tanzania Dada yangu anataka kufanya kazi za Casino

    Habari mkuu Mimi ni mfanyakazi wa casino mpaka sasa nna zaidi ya miaka 5. Nakushauri mwache aende tu ile ni kazi kama kazi zingine. Na hakuna baya lolote linaloendelea, kwa wale ambao hamfahamu casino sio sehemu ya maovu kabisa. Tena kuna watu wanakuja na familia zao. Kikubwa anapaswa kufahamu...
  8. mdanganyika__

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu biashara ya kuuza vinywaji vya aina zote (Vikali na vya kawaida)

    Habari wakuu. Naombeni msaada kama kuna mjuzi yoyote anaifahamu biashara ya vinywaji (soft drinks) kama vile soda, maji juice za chupa kwa uuzaji wa jumla. Iwapo nahitaji kuwa wakala wa makampuni yanayozalisha ni vigezo gani vinavyohitajika? Asanteni sana.
  9. mdanganyika__

    JamiiForums Tanzania Fikra chanya

    Mtu mmoja aliwahi kusema "Ukishindwa kuwaondoa marafiki wanaokuangusha au kukutoa katika mstari kwa sababu ya hofu ya kuachana nao basi kesho utajilaumu kwanini umeshindwa kutimiza ndoto zako kwa kuendelea kung'ang'ania Kuwa nao". Katika Maisha yako kuna baadhi ya vitu unavyoving'ang'ania...
  10. mdanganyika__

    JamiiForums Tanzania Mkaa bure sio sawa na mtembea bure

    Jana katika pitapita yangu mitaa ta Kinondoni ninekutana na dada mmoja wa kichaga ambaye tulikua tunafamiana kwa muda mrefu. Baada ya salamu na stori mbili tatu kuna vitu akaanza kufunguka kuhusu maisha ya biashara hasa inayohusiana na vifaa vya shule. Nimejifunza mengi sana na kibaya zaidi...
  11. mdanganyika__

    JamiiForums Tanzania Ghetto: Anzisha kiwanda cha sigara

    Wacha tuone huu uzi mwisho wake upoje
Back
Top Bottom