Recent content by mdalamishi

  1. mdalamishi

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaoamini hakuna Mungu, njooni hapa

    Sawa nakubali ila Hujanijibu swali langu je alitokea wapi wapi huyo binaadamu
  2. mdalamishi

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaoamini hakuna Mungu, njooni hapa

    Nakubali umesema hakuna binaadamu wakwanza kutokana na urofauti wa rangi na vinasaba unamaanisha tumeombwa tofauti tuchukulie washaumbwa watu warangi tofauti navinasaba je walitokana nann au walikuja kivip mpaka wakawepo duniani tunahitaji chanzo cha uwepo wap utuelezee
  3. mdalamishi

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaoamini hakuna Mungu, njooni hapa

    Sawa kwa tueleze kwa unavojua ww je binaadamu wa kwanza alikujaje hapa duniani ñaomba muongozo wako
  4. mdalamishi

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaoamini hakuna Mungu, njooni hapa

    Bado hujafikia levo ya firauni apo nikama unatania
  5. mdalamishi

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaoamini hakuna Mungu, njooni hapa

    Haujamaanisha nahisi umesema kiutani zaidi
  6. mdalamishi

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaoamini hakuna Mungu, njooni hapa

    Kama Mungu hayupo basi kuanzia leo jitangazie kuwa ww ndio Mungu utajua kuwa Mungu yupo au hayupo
  7. mdalamishi

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Uhakika kiongozi
  8. mdalamishi

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Katika kumbukumbu zangu Kuna wale wa mwaka jana tangu march nafasi zilipotangazwa waliokuwa na uhakika wa kwenda rts lakini ikapita kimya kimya mpaka sasa mbanga zao hazipokei simu.
  9. mdalamishi

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Duh kwaio mwanao uhakika wakupata izo nafasi ni asilimia 100?
  10. mdalamishi

    JamiiForums Tanzania JWTZ yatangaza nafasi za kazi kwa vijana wenye mafunzo ya JKT

    Uzi umeshakufa hakuna roja tena
  11. mdalamishi

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Uzi ndio upo kimya sana watu Wapo vyomboni
  12. mdalamishi

    JamiiForums Tanzania Usaili Jeshi la Magereza na Uhamiaji

    Sjapata mkuu
  13. mdalamishi

    JamiiForums Tanzania Usaili Jeshi la Magereza na Uhamiaji

    Duh poa kiongozi ngoja tujaribu kwengine
  14. mdalamishi

    JamiiForums Tanzania Usaili Jeshi la Magereza na Uhamiaji

    Mkuu kuhusu jw hamna update yoyote
  15. mdalamishi

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Duh kwaio kwa umri uo hata update connection hupati?
Back
Top Bottom