Hahahahaaaa! Hata shetani alitumia maandiko ya Biblia kwa kumjaribu Yesu Kristo ambaye alikuwa mwerevu na kuyashinda majaribu yake na kuendelea kuutangaza utukufu wa Mungu.
Isitoshe, licha ya kutumia maandiko matakatifu haikutosha kumsafisha shetani, alibaki kuwa shetani vilevile kwa kuwa...
King Kiba hana tena tatizo la Management kwa sasa, ndio maana mpaka sasa hakuna mahali kakosea toka aamue kurejea tena kwenye muziki mwezi July mwaka huu.
Kila kitu kinafanyika kwenye ratiba zilizopangwa, alisema video itapigwa November na itatoka December na imekuwa hivyo, na sasa ratiba yake...
Uzuri King Kiba hana pupa, si umeona mwenyewe alivyoweza kukaa na ngoma kali kwa miaka miwili bila kufanya pupa za kuziachia?!
Na hizo ngoma zingine alizonazo zilivyo kali, kwa haya makelele wanayopiga vilaza angekuwa na papara angeshaziachia ovyo ovyo hadi zingemalizana zenyewe.
Jamaa...
Huwa unaandika mara chache sana, lakini kila unapoandika unakuwa umeandika haswa. Umetoa Shule ya kutosha kwa huyo mpotoshaji, na aje tu kukushukuru kwa elimu ya bure uliyompa.
Ova
Mtahangaika kufua, lakini kaniki huo weusi ndio rangi yake. Naona kuna jitihada nyingi sana za kusafishana, lakini ukweli ni kwamba watu waliamua kugawana hela ya umma, hayo mengine nawaachia walio tayari kudanganywa.
Ova
Kwa hiyo umekasirika? Ni kama hali imejirudia tu, ambayo Katuni ya Gado inafit tena kwa kubadili maneno tu. Nampongeza mleta hii thread.
Unadhani kwa viongozi kugawana hela za umma kama chakula cha njaa unadhani Mwalimu angerudi angewafanya nini hawa viongozi?
Ova
Msisitizo ni muhimu sana kwa kijana wetu ili asituangushe kama mtaa wa pili walivyoangushwa na kijana wao kwa ngoma mpya iliyosikika kwa wiki moja tu then ikapotea na kubakia scandal tu za ngono.
Ova
King Kiba sio masikini kwenye kuandika. Kila wimbo uhusika wa kivyake kabisa. Kiba ana kipaji kikubwa sana ndio maana namwelewa. Huwezi kufananisha melody wala msitari wowote toka kwenye wimbo huu hadi kwenda wimbo mwingine.
Ova
Nyimbo za huyo jamaa zinalindwa kama mkuu wa nchi. Na ujanja wangu wote sijawahi kutumiwa wimbo wake kabla haujatoka. Nilisikiliza studio tu, hadi nikatamani kama aziachie tu zote ili watu wamwelewe huyu jamaa ana uwezo kiasi gani.
Ova
Namshukuru Mungu najua muziki. Nilipata nafasi ya kusikiliza nyimbo kama ishirini na mbili hivi za King Kiba ambazo bado hazijatoka, kiukweli hakukuwa na wimbo mbaya. Kikubwa kinachonishangaza kwa Kiba, ni nyimbo alizotunga na kurekodi miaka miwili au mmoja uliopita lakini ni kali kuliko nyimbo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.