Recent content by md Nickson

  1. md Nickson

    JamiiForums Tanzania Masista ni wakatili sana

    Kuna shule ya Masister inaitwa Archangels pre and primary ipo Moshi mjini Kuna sister pale mkuu wa shule ananyanyasa waalimu na wafanyakazi sana,maneno ya kashafa na kudhalilisha,hapeleki Mafao ya wafanyakazi NSSF .Mishahara midogo mno,na wazazi wanalipa 2milioni +.Naomba serekali ifuatilie hii...
  2. md Nickson

    JamiiForums Tanzania Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

    Ulitaka mwanamke mwenye kazi, hayo ndio Matokeo yake,kiburi, jeuri, akijua humfanyi chochote kifedha.
  3. md Nickson

    JamiiForums Tanzania Hivi makomando wa JWTZ wako competent kweli kulinganisha na wenzao wa nchi nyingine?

    Wanalinda wanasiasa tu!!
Back
Top Bottom