Siku ya harusi yako jioni ile mpo ukumbini sherehe ishaisha, watu wakiwa wanaagana unaitwa na Kaka zake mke wako, Wakat huo wamewashika watoto wawili mkono, Unapelekwa kando then unaambiwa “Shemeji, mdogo wetu aliteleza kdg akiwa chuo Lakini sisi tutasomesha hawa watoto wenyewe”.