Recent content by mcndomba maprosoo

  1. M

    Tathimini ya Safari kutoka Njombe kwenda Mbeya(231km) kwa kutumia pikipiki

    Hongera sana. 18/3/2016 niliwahi safiri Mtwara - Songea km 647 kwa siku 1 pkpk Toyo 150; baada ya siku 3 nilirejea Tena Mtwara. Kwa vile nilizingatia dress code ya pkpk hasa kwa safari ndefu nilifika salama bila shida. It's enjoyable Sana kwa utalii wa ndani
  2. M

    Nini hatma ya miradi ya Chato?

    Umefanya nimkumbuke marehemu Mama. ,Umeongea kiungwana Sana. Mola akujalie mapacha ili uzao wako uongezeke zaidi
  3. M

    Mh. Rais, Wizara ya Afya ni ka "Empire" ka Madaktari, Kuna "Mfumo Daktari" Ulioota Mizizi

    Hii hablar ya vijiwe ilishapita sana. Unaenda kwa speshalist hosp hampatikani ila saa 11 kijiwe utamkuta. Alafu haya km unabima haitashiriki huko kijiweni anataka ulipe cash. Hii imetutesa wengi. Asante kwa ujumbe
  4. M

    Poleni wana Mtwara, poleni sana kusini. Hakuna anayezungumza kuhusu kupanda kwa ufaulu Mtwara

    Hata 2019 Mtwara ilipoongoza kitaifa matokeo ya fomu 6 Hakuna aliyezungumzia. Waache waendelee kusema wakati wenzao wanasonga mbele. Wacha wabaki na simulizi Za zamani. Karibu wanakutwa ndo maana wanaendelea kupiga kelele. Hata wakati wa Yesu, Wapo ambao hawakuamini km Kuna kitu kizuri...
  5. M

    Matokeo mabovu ya elimu Mtwara, serikali msipotafuta ufumbuzi mnatengezeza bomu la baadae

    Hamasa ishatolewa Sana ndo maana wanafanya vizuri mpaka top ten ya Taifa. Taja halmashauri yako na shule ya kijijini kwenu tuone inashindana na ipi Mtwara. Aidha, nakuomba fuatilia matokeo kwenye jedwali la necta uelewe vizuri. Mtwara haipo kwenye kumi za mwishooooo
  6. M

    Matokeo mabovu ya elimu Mtwara, serikali msipotafuta ufumbuzi mnatengezeza bomu la baadae

    Hoja ilikuwa ni Mtwara kutoa shule 9 Za mwisho kitaifa wakati haipo kwenye kumbi Za mwisho ila Wapo kwenye top ten. So, nihalali kuambiwa wakanushe na ndiyo maana wamekanusha. Sasa hapo siasa imeingiaje man! Unachuki binafsi na Wana Mtwara. Nenda kaombe kitalu Cha gas uwekeze
  7. M

    Matokeo mabovu ya elimu Mtwara, serikali msipotafuta ufumbuzi mnatengezeza bomu la baadae

    Japo sijui unaandika ukiwa wapi, ila hilo jambo kwa sasa ni historia tu na halipo. Siyo walimu tu Bali watumishi wanavutiwa sana kwenda kusini. Miundombinu ishakamilika. Kuna gari mpaka la saa 8 Mtwara Dar, ni full luxury buses. gari za mbeya Mtwara, songea mtwara, tanga Mtwara, Dodoma Mtwara...
  8. M

    Matokeo mabovu ya elimu Mtwara, serikali msipotafuta ufumbuzi mnatengezeza bomu la baadae

    Sijuhi hata unaongelea nn? Wazazi wa huko Mtwara ndiyo walioeneza uzushi wa matokeo au hauamini kuwa Mtwara wanaweza kufanya vizuri na kuingia top ten? Think big
  9. M

    Matokeo mabovu ya elimu Mtwara, serikali msipotafuta ufumbuzi mnatengezeza bomu la baadae

    Kwani wewe siyo raia? Ingia necta utaona. Tulichomjibu hapa nikutokana na maelezo yake kwamba mtwara inamatokeo mabovu akirejelea matokeo ya 2016 yanayosambaa mitandaoni bila kujua kwamba matokeo yaliyotangazwa Jana Ni ya 2020 ambapo Mtwara imefanya vizuri ukiwakilishwa na Manispaa ambayo...
  10. M

    Matokeo mabovu ya elimu Mtwara, serikali msipotafuta ufumbuzi mnatengezeza bomu la baadae

    Usikurupuke! No research no right to speak! Haya ndo matokeo halisi ya shule zilizozagaa mitandaoni kuwa zimekuwa za mwisho katika mitihani ya kidato cha nne 2020. 1. S 3110 Chingungwe ina div I 1, II 1, III 8, IV 27, 0 2. Na imeshika nafasi ya 21/33 na 669/986. 2. S 3727 Malocho divI 0, II...
Back
Top Bottom