Recent content by mcmamo mkali

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kigwangala na Kapuya walipuliwa na Mtemvu kwa ufisadi UDA

    hapa chamcngi kuwaelewesha watanzania kuanzia sasa tufanye kweli kuanzia serikali ya kitongoji,mtaa mwaka huu.na mwakani chaguzi zote hakuna interahamwe kulamba hata kiti kimoja cha udiwan,ubunge wala upresident.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya UKAWA Mbatia atagombea wapi?

    mbatia kifaa,yuko makini tunamhitaji sana mjengoni kupitia ukonga.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya UKAWA Mbatia atagombea wapi?

    aende ukonga halina mtu,
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Nkenge, Asumpta Mshama lazima ung'oke 2015!

    tatizo ni bei ya mkaa broo.hilo jina mshana kwanza lakipare imekuwaje huko uhayani?pili kagera haiwezi kuendelea hata kidogo kwa sasa,kwanza wasomi wengi wakihaya wanawekeza dsm kuliko uhayani,wanamashule kibaoya binafsi dsm but kwao hakuna kitu,pili wahaya ni wapenda sifa sana so wawekeze...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kauli Tata na Hatari za Waziri Muhongo

    Jamaa linamisifa hadi kero yani.mimi clipendi kabisa,ah.wewe unajisifia nini cufanye kazi ionekane.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kikwete azidi kupata sifa kimataifa, aalikwa New York

    Kweli safari moja huanzisha nyignine,dah jamaa anatisha kwa safari.cjui anataka aweke record ambayo haitavunja miaka hamsini au mia moja ijao?nafikiri hili ndio ameliona litamfanya awe na record ya kukumbukwa kwa muda mrefu zaidi dunian baada ya urais wake.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ujasusi wa Balozi wa Uingereza: Tanzania, Can We Stand Au Maselle Kugeuzwa Mbuzi wa Kafara?

    huu ni muendelezo wa serikali kujivua nguo hadharani,tena ni aibu kubwa serikali kutofautiana waziwazi,by the way KWA KUMBUKUMBU ZANGU,katika baraza la mwisho la mawaziri la JK lililotangazwa na sefue masele hakutajwa nishangaa sana na nashindwa kuelewa inakuwaje anaendelea na kazi za naibu...
  8. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mama Mzazi wa mbunge Zitto Kabwe, Shida Salum afariki Dunia

    innaal llah wainna ilaihr rajiun
  9. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Maelezo yangu kuhusu kazi za Kigoma AllStars/LEKADUTIGITE kwa NSSF na TANAPA

    Kwa hili sugu katumia nafasi yake vibaya,
  10. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Maelezo yangu kuhusu kazi za Kigoma AllStars/LEKADUTIGITE kwa NSSF na TANAPA

    Mkuu hukuelwa coment ya mwisho kwenye majibu ya zito,kasema anataka cag afanye ukaguzi haraka,ikibainika anahusika yuko tayari kuwajibika,sasa wewe unalazimisha aseme ndio au hapana ikusaidie nini?ngoja cag akague ukweli utafahamika,tumuombee mama nzito apone haraka ili nzito aweze kuwa bungeni...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Maelezo yangu kuhusu kazi za Kigoma AllStars/LEKADUTIGITE kwa NSSF na TANAPA

    Mkuu hukuelwa coment ya mwisho kwenye majibu ya zito,kasema anataka cag afanye ukaguzi haraka,ikibainika anahusika yuko tayari kuwajibika,sasa wewe unalazimisha aseme ndio au hapana ikusaidie nini?ngoja cag akague ukweli utafahamika,umuombee mama nzito apone haraka ili nzito aweze kuwa bungeni...
  12. M

  13. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Maelezo yangu kuhusu kazi za Kigoma AllStars/LEKADUTIGITE kwa NSSF na TANAPA

    nmependa coment ya zito ya kukubali cag afanye ukaguzi wa haraka,nakukubali kuwajibika endapo ataonekana anamslahi ya kifaida na campany hizo,pole sana kwa kuuguliwa na mama yako mzazi.mungu atawalipa ubaya zaidi ya huu wanaokufanyia,mimi naendelea kuamini haya yote yatapita huku nzito akiwa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Maelezo yangu kuhusu kazi za Kigoma AllStars/LEKADUTIGITE kwa NSSF na TANAPA

    But hii ni aibu sana kwa cdm,badala ya kupambana na mafisadi interahamwe sugu anatumia nafasi yake kuendelea kukibomoa chama,unataka tena malumbano ya mgogoro wa chama yahamie bungeni,unahamisha maada za kiaslahi ya chama unalta maada za kukivunja chama vipande vipande,,anyway poa kama hivo ndo...
  15. M

Back
Top Bottom