Kauli Tata na Hatari za Waziri Muhongo

Kauli Tata na Hatari za Waziri Muhongo

The arrogance in his wording is what we do not want. Hata kama alipigiwa magoti na Rais, hiyo tu ni kumdhalilisha mkuu wake. Huenda anafanya hivyo ili aachishwe lakini aelewe kuwa if he had just a drop of uzalendo in him, basi angevumilia ili aiinue nchi yake kutoka kwenye hilo tope. Lakini anaposema, nina kazi yangu inaningojea kule Pretoria, anaonesha "UFALA" alio nao. Kumbuka ni mother Tanzania aliyekuelimisha wewe. Ulipoenda huko ukamdharau mama. Titi la mama ni tamu, ingawa ni la mbwa. Mtoto lazima ajilambe utamu wa maziwa yake.
Kwa nini ajione kama asiyetakiwa atoe mchango kwa nchi yake? Is this what we call Patriotism? Halafu yanakuja maccm hapa yanaporomosha maneno ya hovyo tu. Acheniiiiii
2015 CDM hatumhitaji huyoooo

Mleta mada ni mtu anayependa fitina na kupotosha kwani amechagua vipande vipande vya hotuba na kauli za waziri bila kuzingatia ujumbe mzima kwa walengwa wa hotuba na kauli hizo.Tukitaka kumuelewa vizuri waziri huyu tuzingatie dhamira ya hotuba na kauli zake.
 
Anayebisha kuwa muhongo siyo hstari, basi huyo ni muhongo mwenyewe
 
Mleta mada ni mtu anayependa fitina na kupotosha kwani amechagua vipande vipande vya hotuba na kauli za waziri bila kuzingatia ujumbe mzima kwa walengwa wa hotuba na kauli hizo.Tukitaka kumuelewa vizuri waziri huyu tuzingatie dhamira ya hotuba na kauli zake.

Muhongo ni hatari kusema kweli.mbkna sasa hivi hajabembelezwa kwenda marekani

Mzee mzima anaropoka jtafikiri kitoto cha drasa ka kwanza
 
Huyu waziri ni miongoni mwa mawaziri waji.nga na wapuu.zi serikalini,anajiona kauprof kake ndio kauuuuula,inawezekana ana kaugonjwa..ka akili kama anajiona ana uwezo...mkubwa kwa nini aliacha kazi yake rasmi na kuwa kama msemaji wa serikali kupitia wizara ya nishati na madini,prof njaa kama mwenzie Lipumba.

Hivi aliyemteua, yeye yuko sawa? Hao mawaziri bomu ni matokeo ya Rais bomu anayewateua. Tusilaumu matokeo, tuangalie chanzo. Hata hivyo, Ndugu "Ukombozi wa Fikra", Prof. Lipumba ameingiaje katika kumjadili unayemwita 'mpuuzi'? Simamia mada unayojadili na usirukie wasiohusika.
 
Muhongo amewahi kusema kwamba, anashangaa kikwete alipataje urais, kwa maana analazimika kuandamana naye kuokoa jahazi pale kikwete anapopwaya
 
Mhe. Muhongo yuko sawa. Watanzania hawataki mtu anayesema kweli. Kuna Mtanzania gani anaweza kuwekeza kwenye gesi. Kama elimu ya Ole Sendeka ni ya ovyo kwa nini asiseme. Kwanza mnatakiwa mumshukuru Prof. Muhongo. Alipoitoa Tanesco ni mbali sasa hivi umeme umeboreka sana. Usirudi nyuma Prof. Muhongo uzi ni huo huo.
 
Jamaa linamisifa hadi kero yani.mimi clipendi kabisa,ah.wewe unajisifia nini cufanye kazi ionekane.
 
Serikali yetu sikivu ya CCM imekataa kutusikiliza kwa kumwajibisha waziri kama Muhongo kutokana na kauli zake chafu na zenye utata. Muhongo ni janga. Hawa ni baadhi ya mawaziri ambao inabidi watoswe ili kukinusuru CCM kushinda 2015.................Hizi ni baadhi ya kauli hatari sawa na za Mwigulu

sijui huyu mzee kajiondoa fahamu nilishindwa kabisa kuendelea kuangalia akijibu hoja maana hutadhani sio professa nawasiwasi na huo uprofesa wake.
 
Back
Top Bottom