Wakuu Naitafuta Nyimbo Ya Saigon Ambayo Kwenye Chorus Aliimba "Ndugu Zangu Na Washikaji... Naomba Msamaha... Ushetani Ndio Ulioniponza Na Kunibadili Tabia... Yote Niliyofanya Ni Kwa Sababu Tu Ya Bia..."
Asee Hii Ngoma Ilikua Ni MkwAju Plus Na Ya Solo Thang Homa Ya Dunia
Wataalamu Habari Ya Wakati Huu...!
Naomba kutumia neno "Wataalamu" mana naamini kuja kwenu hapa nitapata kutatua shida yangu iliyonileta.
Mimi ni kijana ambaye ndio kwanza nimeanza kuingia rasmi kwenye ajira. Ili kuongeza kipato changu ambacho nahisi hakitokuja kunitosha hapo mbele kidogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.