Recent content by MchunguZI

  1. MchunguZI

    JamiiForums Tanzania BAKWATA wana ushwawishi na nguvu kubwa kuliko TEC katika siasa za nchi

    BAKWATA ipi? Hii inayosaidiwa pesa za kujenga misikiti na wakristu? Hii inayosaidiwa kununua tende? Hii iliyoshindwa hata kujenga chuo au shule ya maana? Hii inayonunuliwa magari na serikali? Ulichotakiwa kusema ni kwamba, Kila tunapokuwa na rais mwislamu BAKWATA hugeuka kuwa maarufu sana. Ndo...
  2. MchunguZI

    JamiiForums Tanzania Dk Muchunguzi uchawa wote kusifia uovu wa CCM ni kwa sababu alisoma na Rais Samia. Taifa letu halitapata wasomi kama akina Sengondo Mvungi (RIP).

    Hata anavyozungumza tu unaona mapungufu kichwani. Ingawa hata Idd Amini alikuwa na classmates na wale aliokuwa nao KAR. Hata hivyo kuna matatizo na wote waliowahi kusoma Chuo cha Mzumbe. Ni kama ilikuwa sehemu ya kutoa vyeti bila elimu. Sijui hali yao ikoje kwa sasa.
  3. MchunguZI

    JamiiForums Tanzania Brian Mundubile: Zambia sio Tanzania. Adai kuwa mbinu za kuiba kura zinazotumika Tanzania zinatumiwa Zambia kwenye Taifa la Kikristo

    Tanzania ilisifika kwa kusaidia nchi zilizokuwa ktk mahangaiko ya kisiasa. Hiyo ni miaka ya 60 hadi 80 wakati kuna viongozi wanaojitambua. Miaka hii ktk CCM bado wana kumbukumbu hiyo ya umuhimu wa Tanzania kwa nchi za Afrika, lakini tatizo ni ubora wa viongozi. Viongozi wa sasa ni wachovu...
  4. MchunguZI

    JamiiForums Tanzania Brian Mundubile: Zambia sio Tanzania. Adai kuwa mbinu za kuiba kura zinazotumika Tanzania zinatumiwa Zambia kwenye Taifa la Kikristo

    Boss, unaonekana kuwa na ufahamu mdogo! Unapotembelewa na wachovu wenzako unasema marais! Yaani huu ni uongozi wa kusimulia watu wenye digrii, au huna digrii? Katika CCM nani unaona ana akili timamu kwa sasa, Hao wenye Ph.D za siku saba? Hao wanapokusanyika Dodoma ni kwa lengo la uzinzi tu!
  5. MchunguZI

    JamiiForums Tanzania Brian Mundubile: Zambia sio Tanzania. Adai kuwa mbinu za kuiba kura zinazotumika Tanzania zinatumiwa Zambia kwenye Taifa la Kikristo

    Kuna mambo yanasemwa nchi jirani ambayo sisi tunajifanya kutosikia. Siyo ajabu Zambia kusema hayo, hata ukiwa Kenya, wanaamini matatizo yetu ya uongozi ni kwa sababu tumeruhusu waislamu kushika nafasi ya urais. Iwe kweli au upuuzi hiyo ndo hadithi waliyonayo. Kenya wanasema kwao, hata siku moja...
  6. MchunguZI

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkenda Anendesha Sera ya Wizi Kupitia Samia Scholarship Program

    Tatizo la Tanzania hatuna rais! Anayejiita rais hajui anachokifanya, mbaya zaidi anaamini ana uwezo. Hata akisimama jukwaani anaweka 'pozi' kama mtu mwenye uelewa. Wale wanaosema ukweli juu ya hali yake ya uelewa, yeye anaamini wanaona wivu, ana mafanikio! Hili la scholarship nimelisikia na...
  7. MchunguZI

    JamiiForums Tanzania Sugu na Nshala wadhibitiwe kwa kuhamasisha matusi

    Unaandika kama uko kamati ya CCM! Tunasoma hadi mwisho hatuoni hilo tusi. Nini kimekupa taabu? Sema unayochukia tukusaidie kuona kama yanafaa au hayafai! Kumbuka hapa siyo kikao cha unafiki.
  8. MchunguZI

    JamiiForums Tanzania Bunge letu Liweke Wakalimani wa Lugha kuepusha hizi aibu za kushangilia kama Majuha kwa kutokuelewa

    Siyo kwamba hawakuelewa kiingereza, hawakusikiliza kabisa! Muhimu kwao ni kushangilia ili Samia ajisikie vizuri. Nadhani uliona waziri Kombo akishangilia maneno ya Samia yaliyostahili kusikitikia. CCM wanashangilia ili tu, Samia awaone wakishangilia.
  9. MchunguZI

    JamiiForums Tanzania KERO Waziri Mkenda lini utasimamia na kuondoa uzembe katika Uongozi wa Vyuo Vikuu?

    Nakuunga mkono! Haya majengo tunayoita ni vyuo vikuu, ni kama hakuna anayejitambua ktk uongozi. Kweli imefikia mwanafunzi anayejitambua, anajaribu kujieleza kama kijana aliyekomaa, Chuo kinakula njama na polisi kumuweka ndani! hiyo ndo SUA kweli? Imekwisha. Hakika huo mtindo ulianzishwa na...
  10. MchunguZI

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz -Ni kundi la wanasiasa mafisadi wanaojiita wawekezaji

    Mkuu, Ningeomba kufahamu wewe ni mwandishi habari za aina gani? Uchumi? Siasa? Sayansi? Elimu?, nini? Nauliza hivi kwa sababu waandishi wengi TZ munakosa elimu mama. Kama ungekuwa na elimu mama, naamini unekwepa kosa kama hili unalofanya. Mijadala ya wazi kama hii tunaweka mambo yenye uelekeo...
  11. MchunguZI

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Fungueni vyuo, leteni wanafunzi bandia, Vijana tunahitaji kukusanyika. Lazima tuelewane

    Nasikia wakuu wa mikoa wanahangaika kutoa mahubiri ili vijana watulie. Huko vyuoni nahisi vijana wamejipanga.
  12. MchunguZI

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Lete hadithi zote kwa Wazee wa Dar, Sisi huku mikoa yote tunataka kujua maiti za ndugu zetu ziko wapi? Nani alitoa amri ya kuua?

    Nadhani CCM walishaona TZ ni ng'ombe wao wa maziwa. Ukisikiliza hao wanaitwa rais na waziri mkuu wanavyozungumza, ni kama WANANCHI hatuna vichwa kama wao. Ingawa wanafahamu wazi kwamba uelewa wetu ni mkubwa kuliko wao. Miaka yote kazi yao ni kutumia pesa za serikali ovyo, baadaye wanaimba mbele...
  13. MchunguZI

    JamiiForums Tanzania Utekaji, Mauaji hatimaye tunaanza kupata wahusika wakuu

    Nimeiangukia taarifa hii nikaidaunilod ingawa haitafutika kiurahisi. Ina maelezo yanayoshawishi kutoa mwanga wa nini kinaendelea ktk nchi. Kwa ufupi kinara ni Kikwete. Hata hivyo humuondoi Samia maana yeye ndo mwenye amri. Ukijumulisha na maelezo ya Balozi Polepole, huwezi kuwaondoa marafiki...
  14. MchunguZI

    JamiiForums Tanzania Ufisadi unavyopangwa na Wizara wakati wa bajeti. Hii BYD nani dealer hapa nchini??

    Bado kuna watu munaamini hadithi za mazingira eti? kwa kuwa munangalia TV baadaye munaona ndo munavyotakiwa kuishi! Acheni hizo hadithi za kitoto. Hizi ni nchi za upigaji tu! Ndo maana unaona wakulima wa alizeti wa Singida hawana soko la alizeti, lakini serikali, waziri huyo huyo anayetoka...
  15. MchunguZI

    JamiiForums Tanzania Tuongee ukweli, Abdallah Ulega hastahili kuwa Waziri wa Ujenzi

    Kwani: Mwigulu anafaa kuwa hapo alipo? Bashe anastahili kuongoza Kilimo? Jafo anastahili? Hilo ni baraza la kugawana pesa za nchi. Ukiweza kutengeza misheni ikakuwezesha kumjengea Hoteli Samia, ukaweza kumjengea kiwanda cha Tumbaku, Ukaweka misheni akanunua Ngurdoto, nk. wewe ni waziri...
Back
Top Bottom