Duh yaani nyie jamaa mmechezewa sana bongo zenu.
Sasa elimu ya form 4 inamahusiano gani na elimu ya kiislamu.
Na hayo ni yaleyale tuyaonayo mnampima elimu kiongozi wa dini kwa kumuelizea panzi alivyo.
Kwenye uislamu Seqular nafasi yake ni finyu sana ila uislamu huo huo unafundisha hadi udaktari...
Labda tatizo lako ni ufahamu.
Tanzania nimesema uislamu haukuwa na utaratibu huo na hiyo ilichagizwa na uchache na wasomi wa elimu ya dini ndio maana wale wachache waliosoma waliachiwa mimbari alafu nikasema watu kama akina Sule na akina bakozi hao sio masheikh kwenye usichokijua ni kuwa kwenye...
Mnashindwa kutofautisha baina ya masheikh Siasa na Masheikh wa Dini.
MASHEIKH DUNIA ni yoyote yule anayetumia umaarufu alioupata kwenye dini kwa njia yoyote ile iwe kwa mihadhara, Mijadala, Tiba za asili au ujanja janja...
Na hao ndani yao huwa wengi wao si wabobezi wa elimu ya dini...
Unaongeaga pointi.
Ila anaposema zamani haina maana kwamba wote wamebadilika haiko hivyo.
Ni kama uonavyo kwenye ukristo mbele ya elimu mnayoipigia kelele kuwa ndio muhimu ila bado kuna wachungaji ni zero kabisa.
Ila anachokusudia ni kuwa leo hii muumini anayo nafasi ya kufanya tafiti...
Naomba kukukumbusha chief....
Msingi wa elimu ya uislamu tangu hii nchi imepata kuwa nchi imesimama kwa kujitegemea na ndio maana ilishindwa kutengeneza mitaala ya kuisomesha kwa nyakati zile.
Ikumbukwe kipindi ilipofutwa EAMWS (East African Muslim Welfare Society) mwaka 1968.
Hapa...
Huwezi kukikimbia kivuli chako shika hiyo nukta.
kila kiumbe kimeumbwa na hulka yake kama ilivyo wanaume kutongoza wanawake na kuku kukimbizana kwenye lile jambo lao.
Ukweli usiopingika wanaume tupo kwa ajili ya kuzipambania familia zetu na kukuta dume linajisifu kwa kugawana majukumu ya familia...
Anazungumzia wazungu walomfilisi Emanuel Ebou na hata yule muIvory Coast kwa sheria zao kandamizi, wazungu ambao baba unaletewa mume na mwanao wa kiume anakuambia mchumba wake na wanafeel good tu.
Tuache ujinga wa kucopy eti kwa kigezo kafanya mzungu huo ni UKOLONI WA FIKRA
Ni kipi Kinakuchekesha hali ya kuwa umeulizwa swali la Msingi..
Ulichocomment na kilichoandikwa havina mnasaba hata kidogo sijajua mashia mnakwama wapi hadi mjidhalilisha hivi.
Hata kuandika jina la nabii wako mbora bila kumswalia ukaliandika kana kwamba ni Mohamad muuza mitumba pia umedhihirisha jina lako. Allah mtukufu akuongoze kwalo.
Iko hivi....
Hayo madhehebu aliyataja Mtume Muhammad Sala na salaam ziwe juu yake na ni kitu ambacho hakiepukiki ktk umma na...
Uko sahihi mwaka 2015 nilimtembelea best friend pande zile na ilikuwa Vvawa makao makuu ya mkoa wa songwe nilioneshwa hadi sehemu ambazo miili iliokotwa Yaaani hadi mwili ulisisimka
Kuna baadhi nimeona huwa wanabeza utendaji wa kazi wa TISS kuwa wamezembea kwenye hii ishu ya Ugaidi Mozambique.
Sijajua wao walitaka taarifa ya kile wanachokibaini wakibandike magazetini ili wajue jamaa wako kazini...?
Alafu kwa mwenye akili ya Sawa sawa ataelewa ugumu na uzito wa kudili na...
KWA KUWEKA SAWA TAARIFA
SteveMollel.
Shambulizi la Ugaidi kubwa Tz kwa Mara ya kwanza kijiji cha Kitaya lilifanyika kipindi Cha kampeni za uchaguzi wa awamu ya pili ya JPM na baada ya kama wiki 3 mbele ndipo lilifanyika hapo Michenjele siku ya uchaguzi Mkuu.
Na taharuki haikuwa kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.