Elimu na mafanikio ya kimaisha mwanaume akipata vitu hivyo viwili kabla ya kufanya chaguo la kuoa,anaweza kupata wakati mgumu kumtambua mwanamke mwenye mapenzi ya dhati kwake.
Wanawake wengi na wenye elimu na wazur huvutiwa sana na wanaume wenye mafanikio kimaisha elimu,fedha,kazi nzur...
Description
Nafasi za kazi : ASSISTANT RESEACHERS
Taasisi inayo jihusisha na tafiti mbalimbali
za afya, inatangaza nafasi za kazi ya
utafiti. SIFA ZA MWOMBAJI : i. Awe wa
jinsia ya kike. ii. Awe na Shahada ya uchumi. Awe
amewahi kufanya utafiti wa kitaalamu. iii.
Awe na uwezo wa...
watu huko wameshapiga bilions za escrow mtanzania unajutia utanzañia wako.unatia hata huruma.kunaa ubovu wa sheria .jiandikishe piga kura october na uilinde kura yako utafanikiwa.lasivyo watu watakuwa wanapiga mabilion yetu ya kodi kila kukicha.
hapo sua kuna degree za uchum.bsc agricultural economics and agribusiness.msc. agricultural economics n moja kat ya course bora za uchum hapa tz.nimekutana na hao watu maeneo tofaut wapo vizur sana.
huu muhula wa nne umechafua sana hali ya uchum.GDP imeongezeka katika no tu .na in rea sense inapungua.huyu mzee amejitahid maeneo mengine lakin uchum kazingua.nahis govt inafanya ilu kutimiza malengo yake bila kuzingatia uchumi wetu unataka nn.kutokana na mikopo inayokuja nchin tungetegemwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.