Recent content by Mchumba

  1. Mchumba

    Zaidi ya milioni 12 posho za Mabalozi, Makatibu tawi na Makatibu kata zaliwa na katibu wa CCM(W) Missenyi CDE Bakari Mwacha

    Kazi ni kupiga kelele mtandaoni kama kweli ni mlafi si atumbulie. Kazi kubwa nyinyi ni kupiga kelele. Naona zamu hii kakaliwa kooni bwana Beka kakutana na Nshomire
  2. Mchumba

    Kamachumu, Muleba: Msafara wa M/Kiti wa UVCCM Kagera waua watoto wawili

    Huyu dogo Faris CCM wanamlea sana inabidi awe amesimamishwa nafasi ya uongozi. Huwezi kuua na kulazimisha mtu atoke selo wakati watu ni majeruhi. Laana inamuandama ya umwagaji wa damu. Hiki kitendo ni cha kulaaniwa kwa watanzania wote. Hizi takataka za hivi hazifai kabisa kuwa viongozi. Karma...
  3. Mchumba

    Mambo ya ovyo yanayoendelea UVCC mkoani Kagera

    Huyu Dogo hizi siasa za kutishia watu zilishapitwa na wakati. Ukiona hivyo ujue akiri zake anajua akisema anapoteza na kuua watu ndiyo atapata uteuzi. CCM hii mijitu ya haina hii ndo wanayaona yana akiri. Hizo ni raana mnajitafutia. Nyinyi wenyewe mioga. Kama kweri mmemuchoka itisha Presi...
  4. Mchumba

    Mwenyekiti wa CCM Manyoni anadaiwa kuchangisha Wanachama wenzake kinyume cha taratibu

    Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Manyoni Bwana Jumanne Makhanga analalamikiwa na wananchi ambao ni wanachama hai wa CCM Wilaya ya Manyoni kwa kuchangisha pesa zisizo na tija. Mwenyekiti huyo kwa mwaka jana pekee amechangisha pesa kwa wanachama wote kwa kila Mwanachama kutoa Shilling mia tano kwa...
  5. Mchumba

    Wizi wa CCM Muleba wadhoofisha miundombinu ya wilaya

    Chama ambacho kinashindwa kulinda rasilimali za nchi hakifai kuchukua dola. Wakati Chadema tunasema People's Power tunamaanisha nguvu ya umma. Anayeiua Muleba ni CCM hatupaswi kumlaumu yeyote. Hiki chama kimechooka ni chama ambacho kinashindwa kuisimamia serikali na kujisimamia chenyewe. Kuna...
  6. Mchumba

    Ofisi ya Mbunge Muleba Kusini wajichukulia fedha za mikopo ya halmashauri ya vijana kwa njia zisizo halali

    Vijana wa jumuiya ya CCM wilaya ya Muleba tuliungana kwa pamoja na kusajili kikundi cha Umoja wa Vijana wa CCM Muleba kikiwa chini ya viongozi wa chama ambapo ni katibu wa vijana na Mkiti wa vijana Jumuiya ya CCM Muleba. Kikundi hicho kilipata leseni yake mnamo tarehe 23/07/2022. Leseni hiyo...
  7. Mchumba

    GE2020 Muleba Kusini inahitaji Mbunge mzalendo siyo kama wakina Dkt. Mode

    Huu wakati ndani ya Chama cha Mapinduzi tunaweza kusema ni muda wa lala salama au muda wa majeruhi na hii inapelekea wananchi wote pamoja na wanaCCM kusubiri ni nani jina lake litarudi na hii macho yote ni kwa majimbo yote Tanzania nzima. Miaka ya nyuma tungekuwa tumeishashangilia ushindi lakini...
  8. Mchumba

    GE2020 Kwaheri Charles Mwijage, Ubunge sio cheo cha Ufalme

    Serikali ya awamu ya tano chini ya Dr John Magufuli wakati ikipambana kuhakikisha nchi inakua kiuchumi kuna baadhi ya viongozi wa ovyo wao akili zao wanawazia nafasi za uongozi wao. Ni tarehe mbili mwezi wa saba tu mwaka huu Tanzania inafanikiwa kuingia kwenye uchumi wa kati wa chini ambapo...
  9. Mchumba

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Mi mzima wa afya. Nkajua warembo wa mjini washakufungia behind four walls.
  10. Mchumba

    Spika Ndugai: Ni marufuku Wabunge kushiriki michezo ya kubashiri(betting)

    Maisha ya bongo yenyewe ni ku-bet. Awamu hii watu hata kula mio mitatu ni ku-bet, maana mtu anaamka asubuhi hajui kama siku itapita au lah.
  11. Mchumba

    Diwani KK Mwangomale: Wizara ya Mambo ya Ndani Tanzania kufungia makanisa zaidi ya 82 Mbeya

    Mungu hawezi kufutwa. Utaratibu huu ni mzuri tu na wakufuata.
Back
Top Bottom