Recent content by mchumajuani

  1. M

    JamiiForums Tanzania Sakata ya ugaidi dhidi ya CHADEMA: Shibuda, Sofia Simba watajwa

    Hata kama wafuasi wa chadema wana akili finyu kwa mtazamo wako, mpaka sasa hakuna mbadala wa chama/kundi linaloonea huruma rasilimali na watu wa nchi hii zaidi ya CDM. Pia nguvu yetu iko katika msimamo kwamba, kura moja ya mwerevu na ya mwenye ufinyu wa akili zinalingana kimaamuzi. Mnaokula...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kijana Amiri Mtoi mhanga wa bomu la Arusha amezikwa leo Mkuzi - Lushoto.

    Inauma sana. Poleni sana. Msiba huu ni wetu sote wapenda amani wa nchi hii.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Live updates: Matokeo ya udiwani kwenye kata za uchaguzi - Juni 16, 2013

    Taarifa: Moshi hatuandamani sababu kazi tulishamaliza zamani.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete atuma salamu za pole kwa viongozi wa CHADEMA

    Kwa mtazamo wangu, tukio la jana katika viwanja vya soweto linafanana kabisa na tukio la kulipuka bomu kanisani huko olasiti. Tofauti ni mazingira tu kwamba moja kanisani na jingine katika siasa. kwa mfanano matukio yote yamesababisha watanzania kuumizwa na pia kupoteza maisha. Katika tukio la...
Back
Top Bottom