Recent content by mchoyo

  1. M

    Msaada wa kujua mzunguko wangu

    asante sana mi nimefunga ndoa mwaka jana na nisingependa kupata mtt nje ya ndoa najua usumbufu wake,asante kwa ushauri wako.
  2. M

    Msaada wa kujua mzunguko wangu

    asante sana nimeshafunga ndoa mwaka jana,pia asanteni wote kwa ushaur wenu cna mengi naomba niishie hapo.na pia cwez kupata mtt nje ya ndoa yangu coz najua maisha yalivyo nishapitia mengi.
  3. M

    Msaada wa kujua mzunguko wangu

    Ila Decomm asante kwa ushaur wako mzizi mkavu uko wapi jamani
  4. M

    Msaada wa kujua mzunguko wangu

    Asanteni kwa majibu yenu ndugu zangu kumbe humu ni kupeana kashfa hivyo na sio kupeana mawazo jamani,asanteni sana
  5. M

    Msaada wa kujua mzunguko wangu

    Ndio nimeolewa
  6. M

    Msaada wa kujua mzunguko wangu

    Habar,poleni na majukumu ya kulijenga taifa kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu naomben msaada kwenu wana jf wenzangu niweze kuujua mzunguko wangu mwez wa pili niliingia date 4/2/2015 na mwez wa tatu niliingia date 10/3/2015 na mwez huu wa nne nimeingia date 8/4/2015 pia na siku ipi...
  7. M

    Cocacola kubandika majina ya watu bila ruhusa/malipo, Jacline Wolper aomba wanasheria kuingilia kati

    uwiiiiiih!bac wote tulioandikwa tulipwe jamani coz tumeandikwa wengi watawalipa wangapi?ni sheeeeeeedah!!!!!!
  8. M

    Nani zaidi kati ya haya makabila?

    mluguru na mjita noumaaa
  9. M

    Kero tunazopata kwenye Nyumba za kupanga

    ahaaa mi nilipopanga mama mwenye nyumba choo anasafisha mwenyewe pesa unachanganyiwa na kodi yake sasa kero kwangu ilikuwa hawasafish vzr anasafisha akijickia bac ugomvi wangu ulikuwa huo adi nilipohama.
  10. M

    Vidonge vya primolut N

    Primolut N is used to treat irregular menstrual periods with heavy and/or persistent bleeding that has no identified cause lack of menstrual bleeding premenstrual complaints (premenstrual syndrome) menopausal complaints in combination with oestrogen as part of hormone replacement...
  11. M

    Jamani nakosa raha kwa hili tatizo

    yaani cjawah kutumia dawa za uzazi wala sindano na wala cjawah kupata mimba cjui nina tatizo gam lingine jaman nashukuru kwa ushaur wako kusema ukweli mume wangu hajawah kwenda hospital inabid nae aende
  12. M

    Jamani nakosa raha kwa hili tatizo

    ok asante sana ila hospital nilienda pia nilikuwa na tatizo la kuruka nilikuwa nakaa miez mitatu bila kuona cku wakanishaur nipime full blood picture nikapima wakanambia nina high prolactin yaan homon za maziwa zipo juulu nikapewa dawa nitumie zinaitwa bramestone 2.5gm nilitumia toka mwez wa...
  13. M

    Jamani nakosa raha kwa hili tatizo

    ahahaa we ni jina tu hilo ucjali nina umri wa kiaka 26 mpendwa
  14. M

    Jamani nakosa raha kwa hili tatizo

    Habari zenu wapendwa natumain wote mtakuwa wazima nakumbuka niliomba msaada kwenu kuhusu kuujua mzunguko wangu kwa ujumla, na mkanielekeza cku muhimu ya kupata pregnant lakini mpaka leo holaa na mzunguko wangu pia unanichanganya mpaka leo adi nakosa raha. Mwezi wa saba nimeingia date 9 na...
Back
Top Bottom