Recent content by mchoto

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu vituo vya kulelea watoto: samaki mmoja akioza si wote wameoza!

    Kuna kituo cha kulea watoto yatima Arusha DC, mmoja wa kiongozi katika makao amewazalisha watoto wawili ambao walikuwa wakilelewa na kituo hicho. Wanaficha siri kwa sababu ya undugu mamlaka husika naomba zifuatilie hao watoto waliounganishwa na familia wamekuwa single mothers kwa kuzalishwa na...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwani nini vijana wa field tunanyimwa nafasi ya kufanya kazi katika faculty zetu . Especially sheria

    Komaa tu kutafuta field sehemu nyingine hata mahakama ya mwanzoni nenda kajifunze. Ila umepata funzo kama field tu kupata imekuwa changamoto ndo uelewe upatikanaji wa ajira ulivyo mgumu
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji faraja yenu wakuu. Kuachana na mtu unayempenda ni msiba mzito

    Kosa la usaliti halina msamaha mkuu
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji faraja yenu wakuu. Kuachana na mtu unayempenda ni msiba mzito

    Hapana siwezi kumsamehe hata kidogo
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji faraja yenu wakuu. Kuachana na mtu unayempenda ni msiba mzito

    Anaomba msamaha
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji faraja yenu wakuu. Kuachana na mtu unayempenda ni msiba mzito

    Kumbee !
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji faraja yenu wakuu. Kuachana na mtu unayempenda ni msiba mzito

    Asante mkuu ulifanyaje ukavuka ?
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji faraja yenu wakuu. Kuachana na mtu unayempenda ni msiba mzito

    😔😔
  9. M

    Inaelekea kuna mwanamke alishawahi kukuumiza wewe siyo bure
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji faraja yenu wakuu. Kuachana na mtu unayempenda ni msiba mzito

    Asante sana
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji faraja yenu wakuu. Kuachana na mtu unayempenda ni msiba mzito

    Exactly! Ila nimejifunza
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji faraja yenu wakuu. Kuachana na mtu unayempenda ni msiba mzito

    Hakika!
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji faraja yenu wakuu. Kuachana na mtu unayempenda ni msiba mzito

    Soma thread uielewe mkuu! Siyo kwamba navizia pesa zake nilienda kikazi ( outreach program) mkoa anaofanya kazi kisanga ndo kilipotokea. Najiweza kiuchumi vizur tu
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji faraja yenu wakuu. Kuachana na mtu unayempenda ni msiba mzito

    Asante mkuu
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji faraja yenu wakuu. Kuachana na mtu unayempenda ni msiba mzito

    Ni wanawake ndiyo
Back
Top Bottom