Recent content by MCHINJITA

  1. M

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete akutana na Wajumbe wa Kituo cha Demokrasia Tanzania mjini Dodoma leo

    Kusaka suluhu kunahitaji dhamira ya kweli na wazi. CCM mwenyekiti anakutana na UKAWA wao wanaendelea kulaghai ummah.kwa hakika kabla ya kiama huja dalili za kiama na hiki kinachoonekana kwa CCM ni dalili ya kiama chake
  2. M

    JamiiForums Tanzania BUNGENI:Kutomsikiliza Mbowe, Ni Fursa iliyopotea?

    Kinachotokea dodoma ni ishara kuwa sasa CCM imeshindwa kuliongoza taifa ili kufikia maamuzi yenye maslahi.ni wazi kuwa sasa tunachagua hatma mbaya kwa mchakato wa katiba.isipotumika busara huenda wapumbavu wakatuingiza kwenye machafuko
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa upinzani watoka nje tena kwa kupuuzwa!

    Unaweza kujiambia mwenyewe upumbavu lakini Katu huwezi kuwaaminisha werevu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda apandishwa kizimbani Morogoro

    Siku zote serikali za kidhalimu huwahofia wapigania haki.Anachofanyiwa sheikh Ponda ni uthibitisho mwingine wa namna serikali inavyowatendea viongozi wa kiislam.Ni wazi Kuwa nchi hainamujtama mwema
Back
Top Bottom