Recent content by Mchezela

  1. M

    JamiiForums Tanzania AG Werema alishastaafu utumishi wa umma kwa mujibu wa sheria

    Taifa la kondoo huendeshwa na serikali ya dubu, wabongo weng wajnga zaid ya kondoo
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Frederick Werema ajiuzulu

    Kama ushauri wake umechafua hali ya hewa, kivip ashukuriwe kwa uaminifu na uadilifu? MPOTO aliwah kusema, maneno xa kitoto mtu mzma kumwambia mtu mzima mwenzie kuna walakini
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hawa Ghasia: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa umefanikiwa kwa 95%

    Dah, nimependa kadirio hili la waziri lakin nafurah kwa kuwa hata yeye anajua kuwa jimbo zima la buchosa kwa tizeba hawajachagua na maeneo mengi ya jimbo la sengerema kwa ngeleja yamefungua vituo saa nane mchana, hii ni wilaya moja tu ya sengerema yenye majimbo mawili, je maeneo mengne ya nchi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Hapa sengerema mjini chadema wameshinda zaidi ya 85% ya mitaa yote mjin hapa
  5. M

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Hapa sengerema mjini chadema wameshinda zaidi 85% mitaa yote
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu aishangaa serikali kwa UFISADI na misamaha ya kodi

    Huwez kuongoza watu kwa unafik na kwa kuwakandamiza wakakuacha vingnevyo wawe ni wapumbavu
Back
Top Bottom