Recent content by mcheche

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    BOOOOOM Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Man city vs leicester city 1Win &GG 2.46 Barcelona vs d, alaves 1Win &GG 2.58 Odds 6.34 Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    JamiiForums Tanzania Utengenezaji wa Sabuni za Aina Mbalimbali: Fahamu Mahitaji, Mchakato wa Uzalishaji na Masoko

    Kweli kabisa, mda mwingne inabid wati waache kuwasikiliza hao wanaojihita wasomi sasa kwe upande wa sabuni inahitajika research ya nn ya soko, soko la sabuni ni pana sana na nirahisi sana mradi tu uwe na product nzuri, soko kubwa kwanza ni mtaani kwako au mji wako, anza na vile tuviduka vya kina...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Over/under, inasimama badala ya goli ngap
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mnaokwenda kuoa mkoa wa Tanga tafakarini mara mbili

    Ila tanga kwa uchawi kiboko duh, niliwah fika maramba,kijiji loko dah ebhn watu wakule wanapenda na kuendekeza uchawi kama kula vile, ndio mana ht maendeleo hakuna vijumba vya udongo ving mpk karne hii, wakat ukitembea vijiji vingi bara huwez kuta vijumba vya udongo ving km tanga aisee
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nina miaka 26 sasa nimepambana vya kutosha bila ya mafanikio

    Tena kwe kilimo aingie kwe bustani ni aina ya kilimo cha mda mfupi na hakina gharama kubwa ya uendeshaji wake , mazao yke kama, bamia, nyanyachungu, pilipili hasa za mwendokasi, au mboga mboga za majan, hiz akitulia itamsogeza seheme, chakuzingatia mfn km izo bamia, nyanyachungu,pilipil alime...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Iv izi over0.50, over 1.50, 2.50 Zina maana gan wadau
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Shukran mkuu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu naomba mnieleweshe hpo kuhusiana na hom goal over/under na away goal over/under inamaana gan, sorry mgen ktk gem,
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Mkuu unanunuaga wap hizo nguo, na mfno kwa jeanz kal za kiume huanzia shs ngap
  11. M

    JamiiForums Tanzania Vifaa vipukuchua mahindi, vinauzwa,

    Mkuu inawezekana nashindwa jinsi ya ku upload humu lkn video inaonesha hiyo
  12. M

    JamiiForums Tanzania Vifaa vipukuchua mahindi, vinauzwa,

  13. M

    JamiiForums Tanzania Vifaa vipukuchua mahindi, vinauzwa,

    Video jinsi kifaa kinavyofanya kaz,
  14. M

    JamiiForums Tanzania Vifaa vipukuchua mahindi, vinauzwa,

    Mkuu shida sio kwako, ebu jaribu kuliangalia tena maana huku ina play vizur
Back
Top Bottom