Najua. Japo unaweza usikubali jibu langu.
Akili ni mfumo wenye uwezo wa kubeba elimu. Hivyo akili kwa mujibu wa maelezo yangu ni nyumba na elimu ni wakazi wa hiyo nyumba.
Nyumba ndogo (akili) hubeba wakazî kidogo (elimu), wengine hupotea na iliohadhîrika haiwezi kubeba wakazi kabisa.
Tupe uelewa...
Hii ni ukweli.
Elimu ndio inayokuwezesha kuishi. Na unaanza kuipata siku unazaliwa na kutambua ziwa la mama ili upate kuishi. Kuhisi kitu ni elimu ikuwezeshayo. Elimu inakupa ufahamu flani wa kuishi.
Elimu sio ile ya darasani tu, hata kujua namna ya kujitawaza ni elimu. Sasa ukimuondolea elimu...
1. Wengi hawana uwezo.
2. Passport imekuwa kitu adimu.
3. Kukataliwa na nchi husika mfano USA.
4. Zaidi ya hapo uchumi wetu bado, wenye akili wanataka kukimbia sema ccm imeweka point no.2 kama kidhibiti
Nchi yenye uchumi mzuri barabara nzuri, watu wake wana furaha, hawana msongo wa mawazo,ajari ajari hupungua. Madereva pia wapo katika hesabu hii. q
Tafuteni chanzo halisi sio kuonea madereva.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.