Nashindwa kumuelewa Profesa Issa Shivji anaposema - tatizo sio kwamba Socialism failed in Tanzania but that – Mwalimu failed to understand the meaning of Socialism. Binafsi naendelea kuamini kwamba Mwalimu alielewa vyema Marxism-Leninism kabla ya utekelezaji wake wa Ujamaa wa Kiafrika. Kwa...
Red Giant:
Hotuba husika (rejea bandiko #1) inajielekeza katika kuonyesha mafanikio yaliyopatikana chini ya Ujamaa wa Mwalimu. Mtoa hoja anatueleza kwamba njia pekee ya kuona au kuelewa mafanikio ya Mwalimu na Ujamaa Tanzania nitatu:
Kwanza anatuasa kuacha kuchambua Ujamaa wa Mwalimu kwa...
Red Giant:
Suala hili tulijadili sehemu nyingine na naomba nianze kwa kurudia niliyoyasema huko kwingine:
-------
Integration of Africa into the global capitalist system, beginning with imperialism (ubeberu), slavery (utumwa) and colonialism (ukoloni) haikuwa na lengo la kufaidisha bara la...
Asante Nguruvi3 kwa mchango wako mzuri.
Mwandishi hapo juu kwenye Bandiko #1 anakiri kwamba: As an ideology, Ujamaa was not supported by any ‘Social Theory’. Lakini pia - he falls short kueleza kwamba: Ujamaa meant a search for an alternative path of development that was neither Capitalism nor...
PROCEEDINGS OF THE INTERNATIONAL CONFERENCE ON
8-9 August 2002
Peace, Unity and People – Centred Development
The Legacy of Mwalimu Julius K Nyerere
OFFICIAL CLOSING ADDRESS
By
Ambassador Emmanuel Asajile Mwambulukutu
Tanzania High Commissioner to South Africa (1999 – 2008)
Chairperson...
Integration of Africa into the global capitalist system, beginning with imperialism (ubeberu), slavery (utumwa) and colonialism (ukoloni) haikuwa na lengo la kufaidisha bara la afrika na watu wake. If anything, it was meant to impoverish, exploit and plunder her people and resources. Hali hii...
Nadhani based on your own experience and account, plus my previous post unaweza kuona kwanini ni vigumu kwa Katiba ya nchi kutekeleza hilo. Sana sana inaweza jaribu kurekebisha kwa kuweka kitu loose kidogo kama vile "Ujamaa wa Kidemokrasia". It wont be "ideal" ofcourse but "workable". Hii ni...
Tanzania haijawahi kuwa nchi ya Kijamaa per Marxism. Ujamaa wa Tanzania meant everything to everybody depending on one's position in the society. Kwa mfano - wakulima waliuelewa tofauti, wafanyakazi nao tofauti, lakini pia petty traders and commercial houses nao waliuelewa tofauti.
Tatizo kubwa...
Strawman argument maana yake ni kwamba nilichosema is a distortion, if not an exaggeration. Nadhani you are just complicating the issue here. Sana sana ungesema kwamba you have been misunderstood then use the opportunity to clarify.
You were very specific kwamba fundamental issue ni "UCHUMI"...
Nchi inayojitegemea kiuchumi maana yake ni ile ambayo ni "completely independent", inazalisha bidhaa na huduma zote zinazohitajika ndani ya nchi, hivyo kutohitaji to import goods or services nje ya nchi.
Hakuna nchi ya namna hiyo duniani, kwahiyo Dhana ya "uchumi wa kujitegemea" ni dhana...
Kwa kila namna inaonekana kwamba Iwapo kutatokea mabadiliko yoyote ya katiba kwa ajili ya kukidhi matakwa ya sasa, sehemu kubwa ya mabadiliko hayo itahusisha mapendekezo ya chama tawala juu ni mfumo utakaofaa. Turejee kidogo yaliyojiri kipindi kile cha mchakato wa mabadiliko ya katiba.
Kufuatia...
Hatari kubwa kwa muungano haipo katika kuruhusu Tanganyika kuchukua nafasi yake ya Kikatiba katika muungano bali hatari ipo katika kuendelea kulazimisha kuinyima nafasi hiyo.
Mwalimu Nyerere alinukuliwa nje ya nchi Miaka ya 1960s akisema kwamba:
"Itokeapo nchi yoyote shiriki itaamua kujitoa...
Naomba nijadili kidogo suala la kinachoitwa "Kero za Muungano".
Iwapo tunakubaliana kwamba:
1. Muungano ulikuwa na washirika wawili: Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya watu wa Zanzibar.
2. Mkataba wa muungano (1964) ndio "legal basis: ya muungano.
3. Chanzo cha kero za muungano ni kukiukwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.