Recent content by mchakavumlasana

  1. mchakavumlasana

    Ni sahihi kumkamata ugoni dada yako?

    unamtaka mumewe? kuwa busy na maisha yako wewe!!!
  2. mchakavumlasana

    Wale wenye ndoa zenu ila mpo "single......"

    ila kiroho kinauma... kampani ya wanawake wenzio ni tofauti na kampani ya mpenzi/mwenza/mumeo.... attention ya wanawake wenzio ni tofauti na ile anayokupa mwenza wako......... hizo empire angalau watoto watafaidi ila kuna raha yake mwenza wako akiappriciate kiufupi mahaba yana raha yake...
  3. mchakavumlasana

    Wale wenye ndoa zenu ila mpo "single......"

    Asante, heri ya mwaka mpya!!
  4. mchakavumlasana

    Wale wenye ndoa zenu ila mpo "single......"

    itabidi kuwapa nafasi ya kusherehekea mwaka mpya pamoja.......
  5. mchakavumlasana

    Wale wenye ndoa zenu ila mpo "single......"

    inasikitisha, siku hizi hakuna misini ya ndoa kabisa wengine wanafunga ndoa kwa presha na mikumbo ya jamnii mwisho wa siku unakuta mweza wake ana mwenza mwingine!!!!
  6. mchakavumlasana

    Wale wenye ndoa zenu ila mpo "single......"

    wataje wataje tafadhali hahahahahaha
  7. mchakavumlasana

    Wale wenye ndoa zenu ila mpo "single......"

    nawapa salamu za mwaka mpya tu... angalau kupunguza upweke... walionao ndoani
  8. mchakavumlasana

    Wanawake hii ni challenge au?

    hebu kunywa maji kwanza hao wanawake wanaojisokomeza vyupa ni wangapi mpaka utake kuchukulia ni wote?
  9. mchakavumlasana

    Hivi unaishi vipi na mwanaume miaka 2 bila ndoa?

    yaani unawashauri wazae kuongeza single parents kama mwanaume haeleweki tupa kule (NB ndio umuhimu wa mafiga matatu unapoonekana)
  10. mchakavumlasana

    Wale wenye ndoa zenu ila mpo "single......"

    Kwa wanawake wote ambao mmeolewa..... Mko kwenye ndoa zenu....... Na mashati yenu ya vitenge sare sare na waume zenu............. Salamu kwenu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Nyie mlio kwenye ndoa zenu....lakini bado mpo ingle.... Yaani single but married (wenye viinglish vyenu pia mnywe maji mengi tu...
  11. mchakavumlasana

    Wanawake, mnaponyaje maumivu ya kusalitiwa na wenza wenu?

    halafu unajua mnatutia majaribuni sana imagine miaka yote ya ndoa sijawahi kutoka nje mpaka nikawaza hivi hawa wanaonipigia misele si nichague tu mmoja nipumzishe moyo... sema tu nilimshinda shetani.....ila kawazo kanakuja kanaondoa...mbele kugumu jamani oooh
Back
Top Bottom