Recent content by mchakachuaji192

  1. mchakachuaji192

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Yangu inasoma jina Y...h
  2. mchakachuaji192

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Location inasoma sehem moja?
  3. mchakachuaji192

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Time frame yenu inasema lini sasa at least nikae najua baada ya mwezi au miezi miwili!
  4. mchakachuaji192

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nimelipia umeme tangu tarehe 29 september lakini hadi leo hii sijaunganishiwa umeme, na pale hapahitaji nguzo kabisa, naomba msaada wenu jamani
  5. mchakachuaji192

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Jamani TANESCO naomba msaada hiyo remote imeandika sleep tu nafanyaje hapo nataka kuweka umeme nashindwa Sent using Jamii Forums mobile app
  6. mchakachuaji192

    JamiiForums Tanzania Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    Master of the game Mkuu nahitaji mtungi wa kuhifadhia maji ya waiper Aina ya gari ni Nissan xtrail Sent using Jamii Forums mobile app
  7. mchakachuaji192

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelekezwa

    0762 311 700 mpigie huyo mtu wao wa masoko Sent using Jamii Forums mobile app
  8. mchakachuaji192

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota brevis for sale

    4.5 Sent using Jamii Forums mobile app
  9. mchakachuaji192

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

    Ina km ngapi hiyo Alphard
  10. mchakachuaji192

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

    Master hii roof yake inafunguka?
  11. mchakachuaji192

    JamiiForums Tanzania DAR: Kiwanda cha Superdoll chateketea kwa moto...

    Nimepita maeneo ya Mtava muda si mrefu nimeona magari ya fire yanaelekea huko.. =========== Later on.. DAR: Moto mkubwa unawaka katika kiwanda cha matairi cha Super Doll kilichopo barabara ya Nyerere. Chanzo cha moto huo bado hakijafahamika na juhudi za kuuzima zinaendelea. Taarifa zaidi...
Back
Top Bottom