hawana maana hao.thaman ya dola imepanda kwao tu ila wafanyakazi au raia wengine hyo dola haiwahusu?kwani hzo gar lazima wanunue aina hyo tu hakuna nyingne?
mi nafikir tufike pahala tuwafurahie wapinzani kwa yote yanayotokea kuanzia kupatkana kwa magufuli mwenyewe,maana upinzanh wa lowasa na membe yeye akapata fulsa hyo.pia kelele za wapinzan zinamfanya awaze sana na afanye kazi kuonyesha ubora wake.Hongeren wapinzan.
kwani mpaka sasa una umri gan hapa tz?na umeshuhudia ahadi tamu ngapi toka kwa marais wa nchi hi?viongoz wetu wana maneno matamu kuzidi juice ya embe,ila utekelezaji upo kama juice ya Alovera.
Mbunge wa sumbawanga Aeish elimu yake mbona ni shida tupu ila hamsemi hapa.na ni ccm hao hao wanao lilia kipengere cha kujua kusoma na kuandika kwa bosi ila dreva wake awe kafika kidato cha nne.akili ndogo zinawaza hvyo hvyo.
wala msipoteze mjadala hapa.yan mi mwenyewe bado nashangaa,watu wamejifanya wanawakata wengne kupata tatu bora af ile 3 bora inajitoa anabaki mmoja.sasa c mngesema mapema nafac ni ya mr Kazi.haya ndyo yanayofanywa kwny mashira kwenye issue za ajira.wanamtu wao wanapotezea wengne muda tu.
wala msipoteze mjadala hapa.yan mi mwenyewe bado nashangaa,watu wamejifanya wanawakata wengne kupata tatu bora af ile 3 bora inajitoa anabaki mmoja.sasa c mngesema mapema nafac ni ya mr Kazi.
mnalialia tu chadema chadema na upendeleo,unataka upewe wew au apewe ambaye unajua mnaukaribu ili nawe ufaidi eeeh!tatizo la watanzania hata ufanyeje huwezi kuwatimizia haja zao na ni yatu wa kulalamika kila kukicha.fanya kazi acha mawazo mgando.low and average mind.
Ccm ina watu wake,huyo masanja anajisumbua tu.akifa baba au mama anachukua mtoto kama mtoto hayupo anapewa ndugu aliyekaribu na marehemu.hapo hyo nafac ya mdogo mtu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.