Recent content by Mccarrick

  1. Mccarrick

    Tanzania Automotive Technology (Nyumbu): Si Kama Unavyoifikiria

    Nyumbu! nyumbu! Tangu unazaliwa unasikia nyumbu unamaliza Secondary unasikia nyumbu, unamaliza Chuo nyumbu, unaanza family hadithi ni hiyohiyo. Please! Pelekeni makumbusho.[emoji42] Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Mccarrick

    TANZIA Sheikh Hamis Matata afariki dunia

    May Allah bless him with Jannatul Firdaus. Huu umekuwa mwezi wa mitihani Tanzania. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Mccarrick

    Gwajima sio wa kupuuzwa, ushauri wake kuhusu Corona umenitetemesha leo

    Conspiracy theorist. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Mccarrick

    Utabiri: Bernie Sanders Ndiye Rais Ajaye Wa Marekani

    Socialist president in America? Sio kwa sasa hivi. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Mccarrick

    RC Makonda: Soko la Kariakoo kuanza kufunguliwa kwa saa 24 kuanzia mwezi wa Ramadhani

    Watu wengine kwa kupenda kujiingiza King hawajambo. Dogo Makonda, wewe sema hii ni Pilot Project ya kuangalia kama biashara masaa 24 kwenye Soko la Kariakoo itaweza kufanyika. Kufanyikisha hili jambo sio mchezo, hosusani kwenye gharama za uendeshaji wa zoezi hili. Kila kitu kinaongezeka mara...
  6. Mccarrick

    Nyumba ya Mnyarwanda yachomwa moto kwa kujihusisha na biashara ya nyeti za binadamu

    Umaskini ni kitu kibaya kabisa. Wameamua kumsulubu kwa sababu kawashinda hali ya maisha. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Mccarrick

    Ni kipi kinazuia kuwatoa vijana wetu China?

    Hiyo ndio habari ya Pakistan. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Mccarrick

    Ni kipi kinazuia kuwatoa vijana wetu China?

    Serikali ya China hairuhusu watu kuondoka kiholela bila utaratibu maalum. Halafu, kwa kujibu wa WHO, Shirika la Afya Duniani, watu watakaondoka China baada ya kupata ruhusa ya Serikali, watakapofika kwao, lazima watengwe kwa wiki 2 kuhakikisha kwamba hawana hiyo homa. Sidhani kama Serikali ya...
  9. Mccarrick

    Ushuhuda: Mambo ya aibu niliyowahi kufanya maishani, malezi na maisha yangu hadi leo!

    Hivi mtoto wa darasa la tatu anakuwa na umri gani? (11 years old?) Duh umeanza kubaka bado upo chekechea aisee. Salute [emoji1980]. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Mccarrick

    Paul Mashauri, Amewaelezea vizuri Marehemu Mengi, Mufuruki, Chande, Musiba na Ruge

    May God bless you mwandishi wa makala hii. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Mccarrick

    IMF: The fastest growing economies in Africa 2020

    Mhhh! South Sudan ndio inaongoza? Nina wasiwasi ni hizi data. Labda ni S. Sudan nyingine. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Mccarrick

    Zile speed za kwenda kusoma Malaysia, India na China zimeishia wapi?

    Duh! Wazazi wengi sana wamepoteza pesa nyingi sana kwa kupeleka watoto kwenda kusoma hizo nchi. Wengi wao (sio wote) wamerudi kulelewa nyumbani. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Mccarrick

    Marekani: Iran imehusika kuangusha ndege ya Ukraine

    Ayyatollah kachemsha. Nadhani ilikuwa bahati mbaya. Hasira za mkizi...... Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Mccarrick

    Kwanini Wayahudi hawasherehekei siku ya kuzaliwa?

    I saw it somewhere online. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Mccarrick

    Ukweli kuhusu maisha ya ughaibuni

    Duh! Dola 3, 000. Bonge la darizi. Lakini ndio hivyo kuku mgeni anakuwa zawadi kwa wajanja. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom