Nini maana ya UBADHIRIFU? Ubadhirifu ni hali ya kukosa uwezo wa kujizuia au kujidhibiti, katika matumizi ya Fedha au Rasilimali mbalimbali, na hii hutokea kwa wale waliopewa mamlaka za kuongoza Serikali ama Taasisi mbalimbali katika jamii zetu.
Je, nini kifanyike ili kuchochea Uwajibikaji dhidi...
Katika jamii yetu ya kitanzania, kwa siku za hivi karibuni kumeibuka janga la taifa.
Nalo si jingine ni janga la upungufu wa nguvu za kiume, NGUVU ZA KIUME NI NINI? huu ni uwezo alionao mwanaume wa kushiriki ipasavyo tendo la ndoa, na kuweza kumpa mimba yule mwandani wake.
HEBU TUANGALIE JE...
Upo sahihi ila pia lengo kubwa hapa Kiongozi, ni kuangalia hizi changamoto ambazo amekuwa nazo mwalimu pekee, kama taaluma peke yake iliyosahaulika tangu uhuru, Ni kwanini watu wa afya hawalalamiki kama waalimu, au kada nyingine yoyote? Ni kuwa huku kwa waalimu shida ni kubwa sana, Kama Tarime...
Unyanyasaji wa kingono hii ni aina ya unyanyasaji, unaohusisha matumizi ya matamshi ya ngono ya wazi ama ya siri, ikiwa ni pamoja na ahadi zisizohitajika na zisizofaa za zawadi kwa kubadilishana na faida za ngono.
Wakati mwingine unyanyasaji huu muathirika, anaweza kutendewa kutokana na hali ya...
Kila Kona ya nchi yetu kumejaa madimbwi, Machozi kila Kona kila chozi linalotoka linaashiria machungu na maumivu, ni nani aliyetayari kukausha madimbwi haya?, ni nani wa kumfuta machozi huyu anaelia Januari mpaka Disemba?, amesahaulika na kila mti nia wa Nchi na hata Mtia nia Jimboni kwake, kila...
Na hata vibali vyao vya kuingia nchini, vinatambulika kuwa wamekuja kama wawekezaji/Investors, kwahiyo waishi kama vibali vyao vinavyoonesha, kama ni ushindani basi wafungue maduka, wakiwa na vibali vyote vya serikali, au wakisambaza bidhaa huko na huko pia wawe na vibali vya serikali, kama...
Kulingana na taratibu za nchi,
Wao wanapaswa kujenga viwanda, vya kutengeneza bidhaa, kwa maana nyingine waje na mtaji wa kiuwekezaji na kuajiri watu, na sio wao kufanya kazi za ajira kama wafanyavyo watanzania..
Kwa miaka ya hivi karibuni, tumeshuhudia wimbi kubwa sana la wageni wa kiarabu, kutokea nchini Misri wakizungusha Vyombo/bidhaa zao, kwenye Ofisi,shule,hospital na hata majumbani, wakiuza na kukopesha kama Wamachinga.
Hivi ni kweli kuwa Sera zetu za uwekezaji zinaruhusu hili? Maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.